Ushauri: Nchi gani ya Ulaya ni rahisi kupata visa na kazi?

Jinsi watu wanavyozani Ni rahisi kupata pesa ukiwa ulaya
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Hope upo Europe kwa sasa.
Tupe mrejesho
 
[emoji102]
 
Wadau mimi nahitaji kwenda Ulaya kutafuta maisha, nauli ninayo hivyo naombeni ushauri kwa anaefahamu nchi gani in Europe ina urahisi wa kupata kazi yoyote pia urahisi wa visa pia mahali pa kufikia ?????

Wadau naombeni msaada wenu kwa anaefahamu.
Nchi yoyote Ile, changamoto ya kwanza ni vipi uishi kihalali( makaratasi). Makaratasi utayapata kama mkimbizi, ukioa raia au mtu anaeishi kihalali, shule( mwanafunzi) au kazi uliyopata mmoja kwa mmoja kutoka nchini kwako( wengi watu wa IT).Sehemu kama UK na USA unaweza survive muda mrefu bila makaratasi.
 
Mkuu kwa sie wa Tz ni ngumu sana kupata msaada wa kitu hiki, hata kama wanao weza kukusaidia wapo lkn huwa ubinafsi umetutawala sanaa
Ushauri wangu ww jaribu mwenyewejanaa vamia ktk balozi kadhaa fanya application then utaona matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…