Ushauri: Ni kiasi gani cha chakula kitawatosha hawa kwa mwezi?

Ushauri: Ni kiasi gani cha chakula kitawatosha hawa kwa mwezi?

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
969
Reaction score
3,071
Kuna watu wanne

  • Mtu wa kwanza Mtu mzima miaka 28
  • Mtu wa pili miaka 11.
  • Mtu wa Tatu miaka 6
  • Mtu wa Nne miaka 4

Kwa hawa watu, ni kiasi gani cha chakula (Mchele na unga) utawatosha kwa mwezi mzima, naomba wenye kujua makadilio wanisaidie katika hili?

Maana naitaji kujua unga utakua kiasi gani, na mchele kiasi gani, ambao unatosha kutumika kwa mwezi.
 
Inategemea na sehemu walipo na asili yao na mizunguko au shughuli zao kwa siku. Usiseme mtoto mdogo hana shughuli za siku. Kucheza napo ni shughuli kwa watoto.
 
inategemea kama ni wasukuma au watu wa kawaida, so be specific mkuu tukubudgetie.
 
Wewe ndio cold water mwenyewe?
Screenshot_2025-07-20-08-37-54-73.png
 
Kuna watu wanne

  • Mtu wa kwanza Mtu mzima miaka 28
  • Mtu wa pili miaka 11.
  • Mtu wa Tatu miaka 6
  • Mtu wa Nne miaka 4

Kwa hawa watu, ni kiasi gani cha chakula (Mchele na unga) utawatosha kwa mwezi mzima, naomba wenye kujua makadilio wanisaidie katika hili?

Maana naitaji kujua unga utakua kiasi gani, na mchele kiasi gani, ambao unatosha kutumika kwa mwezi.
Kwenye kula, binadamu tunalingana, haijalishi umri.

Mtoto akiacha kunyonya ziwa la mamake mwingize kwenye bajeti halisi ya chakula hapo nyumbani.

Mchele kwa mlo mmoja kwa mtu ni 0.25 kg utazidisha kwa idadi ya watu mara mwezi.

Mfano kwa hao watu wanne ni kg1 kwa siku x 30days=30 kgs.
Unga nao ni hivyo hiyo, ingawa kuna tofauti ndogo katika ration scale, chukulia tu kuwa ni robo kilo kwa kila mtu.
 
Kwa wastani watakula kilo moja ya mchele kwa siku
So kwa nwezi ni kilo 30
.kama utachanganya na unga basis in ung kg15 mchele kg 15
 
Mchele kg 30
unga kiroba kile Cha kg 25
Maharage kg 20
Sukari kg 6
Mafuta ya kula lita 5
Sijui mengine.hainaga kipimo,maana siku hubadilika ila waambie tu watumie Kwa akili Hadi siku 30 zikitimia
 
Kuna watu wanne

  • Mtu wa kwanza Mtu mzima miaka 28
  • Mtu wa pili miaka 11.
  • Mtu wa Tatu miaka 6
  • Mtu wa Nne miaka 4

Kwa hawa watu, ni kiasi gani cha chakula (Mchele na unga) utawatosha kwa mwezi mzima, naomba wenye kujua makadilio wanisaidie katika hili?

Maana naitaji kujua unga utakua kiasi gani, na mchele kiasi gani, ambao unatosha kutumika kwa mwezi.
Idadi hiyo unahitaji kilo moja mchele kwa mlo mmoja, unga robo tatu ya kilo kwa mlo mmoja.
 
Ngumu kubudget maana kila nyumba na wanavyokula. Kuna nyumba wali kila siku usiku kuna nyumba wali mara 3 kwa wiki.

Cha kufanya nunua kg25 za unga na mchele 25kg note tarehe utakayonunua Vitu. Hiyo itakupa muongozo kuona mchele umeisha baada ya siku ngapi na unga hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom