We nae wasukuma tu mdomoni kwako!!!!!Kama ni wasukuma, andaa gunia tano hapo kwa haraka haraka.
Yah hii makadirio yanaweza yasiwe halisi, kulingana na hao watu wanne uwezo wao wa kula.Kama ni wasukuma, andaa gunia tano hapo kwa haraka haraka.
Kwenye kula, binadamu tunalingana, haijalishi umri.Kuna watu wanne
- Mtu wa kwanza Mtu mzima miaka 28
- Mtu wa pili miaka 11.
- Mtu wa Tatu miaka 6
- Mtu wa Nne miaka 4
Kwa hawa watu, ni kiasi gani cha chakula (Mchele na unga) utawatosha kwa mwezi mzima, naomba wenye kujua makadilio wanisaidie katika hili?
Maana naitaji kujua unga utakua kiasi gani, na mchele kiasi gani, ambao unatosha kutumika kwa mwezi.
Idadi hiyo unahitaji kilo moja mchele kwa mlo mmoja, unga robo tatu ya kilo kwa mlo mmoja.Kuna watu wanne
- Mtu wa kwanza Mtu mzima miaka 28
- Mtu wa pili miaka 11.
- Mtu wa Tatu miaka 6
- Mtu wa Nne miaka 4
Kwa hawa watu, ni kiasi gani cha chakula (Mchele na unga) utawatosha kwa mwezi mzima, naomba wenye kujua makadilio wanisaidie katika hili?
Maana naitaji kujua unga utakua kiasi gani, na mchele kiasi gani, ambao unatosha kutumika kwa mwezi.
Usicheze mbali, unga robo.Mfano kwa hao watu wanne ni kg1 kwa siku x 30days=30 kgs.
Unga nao ni hivyo hiyo, ingawa kuna tofauti ndogo katika ration scale, chukulia tu kuwa ni robo kilo kwa kila mtu.