Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Nina mdogo wangu(msichana) amemaliza form 2012 katika masomo yake alipata D isipokuwa Maths alipata F na hivyo kushindwa kuendelea na kidato cha tano. Nimekusanya vijisenti nataka kumpeleka chuo cha ufundi. Kutokana na ugumu wa ajira hapa nchini nataka asomee kozi atakayojiajiri zaidi ili pesa zangu zisipotee bure. Nitashukuru kwa mawazo yenu.