Ushauri: Ni kozi gani VETA inamfaa binti ili ajiajiri

Msigazi Mkulu

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2013
Posts
4,160
Reaction score
3,368
Nina mdogo wangu(msichana) amemaliza form 2012 katika masomo yake alipata D isipokuwa Maths alipata F na hivyo kushindwa kuendelea na kidato cha tano. Nimekusanya vijisenti nataka kumpeleka chuo cha ufundi. Kutokana na ugumu wa ajira hapa nchini nataka asomee kozi atakayojiajiri zaidi ili pesa zangu zisipotee bure. Nitashukuru kwa mawazo yenu.
 
Yeye binafsi anapenda kusomea course gani? Akisomea hotel ajira zipo nyingi, ila km umesema unahitaji ajiajiri hapo cjui yy anapenda biashara gani
 
Nina mdogo wangu(msichana) amamaliza form 2012 katika masome yake alipata D isipokuwa Maths alipata F na hivyo kushindwa kuendelea na kidato cha tano. Nimekusanya vijisenti nataka kumpeleka chuo cha ufundi. Kutokana na ugumu wa ajira hapa nchini nataka asomee kozi atakayojiajiri zaidi ili pesa zangu zisipotee bure. Nitashikuru kwa mawazo yenu.

Kuna njia mbili zaufanya

Ya kwanza. Asome certificate katika chuo kinachotambulika kiserikali hata kama ni chuo binafsi akifaulu asome diploma chuo hata cha serikali au binafsi. Akifaulu anaenda kusoma degree

Ya pili. Asome veta katika kozi anayopenda, kama anapenda kujiremba sana mpleleke asomee mambo ya saloon na upambaji. Kama anapenda kupika aende akajifunze mapishi mbalimbali ya vitafunwa keki na aina zingine za vyakula. Kwa ujumla veta asome kile kitu anachopenda huku ukimsaidia mawazo ya namna ya kujiajiri ktk huo ujuzi atakaopata.
 
Yeye binafsi anapenda kusomea course gani? Akisomea hotel ajira zipo nyingi, ila km umesema unahitaji ajiajiri hapo cjui yy anapenda biashara gani

Yeye anapenda mambo ya kompyuta na mambo ya umeme lakini naona ni vigumu kupata ajira. Vipi hayo mambo ya hotel yanalipa kiasi cha kumudu mahitaji yake?
 
Asante sana mkuu kwa ushauri wako lakini naona hyo ya kuanza na certificate hadi degree uchumi hautaruhusu mkuu.
 
Yeye binafsi anapenda kusomea course gani? Akisomea hotel ajira zipo nyingi, ila km umesema unahitaji ajiajiri hapo cjui yy anapenda biashara gani

Hotel ajiandae kusumbuliwa ovyo na wanaume na kuwa sehemu ya kuwaondoa upweke wateja wa kiume
 
Yeye anapenda mambo ya kompyuta na mambo ya umeme lakini naona ni vigumu kupata ajira. Vipi hayo mambo ya hotel yanalipa kiasi cha kumudu mahitaji yake?

Yes hotel zinalipa hasa akisoma akafaulu akasjiriwa na 4 or 5Star hotels, kima cha chini ni 25,0000+ service charges...atleast kwa mwezi hakosi laki5...km yupo interested na kazi za hotel aende akasome National College of Tourism kipo karibu na IFM...akifaulu anapata ajira 1kwa1
 
Ni course gani mtu anasoma halafu anaenda kufanya kazi sehemu ambayo hakuna usumbufu wa jinsia tofautim ni msimamo wa mtu binafsi, hata ungemfungia ndani km hajatulia watamsumbua tu
 
Asante sana mkuu, kama unajua ada yao tafadhari nijulishe
 
Ikitokea akaajiriwa ni vizur lakini mi nataka kozi ambayo atajiajiri yeye mwenyewe bila kutegemea kuajiriwa. Nipe ushauri hapo mkuu

Mpeleke veta akasomee mambo ya saloon yatamfaa. Ada si zaidi ya laki3, kozi ya miezi mitatu darasani mi3 mingine anapelekwa mafunzo kwa vitendo.
 
Kozi inaanza january hvyo awahi kama atakua mhitaji
 
Yeye binafsi anapenda kusomea course gani? Akisomea hotel ajira zipo nyingi, ila km umesema unahitaji ajiajiri hapo cjui yy anapenda biashara gani

hakuna koz mbovu kama hiyo ya hotel nina ndugu zangu wa kike wawil wana vyeti wanarandaranda navyo mtaan ila hata ajira ya kutandika vitanda hawajapata pia ukizingatia kaz za hotel zinategemea na muonekano wa mtu, uchangamfu, wepesi, uzoefu n.k bora asome ushonaji
 
Yeye binafsi anapenda kusomea course gani? Akisomea hotel ajira zipo nyingi, ila km umesema unahitaji ajiajiri hapo cjui yy anapenda biashara gani

hakuna koz mbovu kama hiyo ya hotel nina ndugu zangu wa kike wawil wana vyeti wanarandaranda navyo mtaan ktk kila hotel ila hata ajira ya kutandika vitanda tu hawajapata pia ukizingatia kaz za hotel zinategemea na muonekano wa mtu, uchangamfu, wepesi, uzoefu n.k bora asome ushonaji
 
Yeye anapenda mambo ya kompyuta na mambo ya umeme lakini naona ni vigumu kupata ajira. Vipi hayo mambo ya hotel yanalipa kiasi cha kumudu mahitaji yake?

bro kuliko umpeleke hotel ni bora hiyo ada umpe afanye mtaji, ila ukitaka apate ajira ya uhakika na ya kudumu hasa kwa upande wa kujiajiri mpeleke akasome umeme ama kompyuta kama anavyotaka ukizingatia haya ni maswala yanayohitaji ujuzi kichwan hivyo sio kila mtu anaweza fanya hizo kazi ni wachache sio kama kazi za hotel ambazo kwa asilimia kubwa zinahitaji uzoefu na mvuto ama muonekano wa mhusika
 
Ni course gani mtu anasoma halafu anaenda kufanya kazi sehemu ambayo hakuna usumbufu wa jinsia tofautim ni msimamo wa mtu binafsi, hata ungemfungia ndani km hajatulia watamsumbua tu

mwanao ukiambiwa umchagulie kazi kati ya hizi utamchagulia ipi na kwanin? kuwa bar maid mshahara laki 3 kwa mwezi ama kuwa muuza duka mshahara laki 1.5 kwa mwez
 
Yes hotel zinalipa hasa akisoma akafaulu akasjiriwa na 4 or 5Star hotels, kima cha chini ni 25,0000+ service charges...atleast kwa mwezi hakosi laki5...km yupo interested na kazi za hotel aende akasome National College of Tourism kipo karibu na IFM...akifaulu anapata ajira 1kwa1

Mkuu nina sister wangu ana vyeti vyake vya hotel fresh na anauzoefu, kwamba alishawahi kufanya kazi..kama kuna fursa tujuzane maana siku imekuwa tabu kupata ajira.
 
hakuna koz mbovu kama hiyo ya hotel nina ndugu zangu wa kike wawil wana vyeti wanarandaranda navyo mtaan ktk kila hotel ila hata ajira ya kutandika vitanda tu hawajapata pia ukizingatia kaz za hotel zinategemea na muonekano wa mtu, uchangamfu, wepesi, uzoefu n.k bora asome ushonaji

Vyeti tu havitoshi, papuchi pia inahusika
 
Back
Top Bottom