Magnificient
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,162
- 705
Mimi nashauri akasomee unesi kama atapenda. Pesa nzuri na ajira nje nje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alluminium and glass works
Yes hotel zinalipa hasa akisoma akafaulu akasjiriwa na 4 or 5Star hotels, kima cha chini ni 25,0000+ service charges...atleast kwa mwezi hakosi laki5...km yupo interested na kazi za hotel aende akasome National College of Tourism kipo karibu na IFM...akifaulu anapata ajira 1kwa1
Yeye anapenda mambo ya kompyuta na mambo ya umeme lakini naona ni vigumu kupata ajira. Vipi hayo mambo ya hotel yanalipa kiasi cha kumudu mahitaji yake?
Mwambie akasome biomedical engenering kama ana uwezo.hakika utakuja kunikumbuka
Nina mdogo wangu(msichana) amemaliza form 2012 katika masomo yake alipata D isipokuwa Maths alipata F na hivyo kushindwa kuendelea na kidato cha tano. Nimekusanya vijisenti nataka kumpeleka chuo cha ufundi. Kutokana na ugumu wa ajira hapa nchini nataka asomee kozi atakayojiajiri zaidi ili pesa zangu zisipotee bure. Nitashukuru kwa mawazo yenu.