Ushauri: Ni kozi gani VETA inamfaa binti ili ajiajiri

Ushauri: Ni kozi gani VETA inamfaa binti ili ajiajiri

Mimi nashauri akasomee unesi kama atapenda. Pesa nzuri na ajira nje nje
 
Kiujumla nawashukuru sana wote mlinipa mawazo kuhusu huyu mdogo wangu.
 
Kazi Za Ususi Saloon Au Uhotelia Ni Nadra Sana Kuja Na Ubunifu, Zimetapakaa Mno.Halaf Na Ww Usimfunge Huyo Dogo Ajiajiri Tu Hata Akiajiriwa Sio Mbaya Endapo Tu Kama Kuna Maslah.Pia Tambua Mazngira Ya Kujiajiri Seriously Kwa Mwanamke Ni Kazi Sana Kwasab Ya Nature Ya Course Wanazopendelea Ama Wao Ama Kwa Msukumo Wa Tamaduni Za Jamii Zao
 
mpeleke akajifunze USHONAJI, kupitia hiyohiyo fani anaweza kuwa mbunifu wa mitindo ya nguo mpaka akawa Bilionea.
 
Yes hotel zinalipa hasa akisoma akafaulu akasjiriwa na 4 or 5Star hotels, kima cha chini ni 25,0000+ service charges...atleast kwa mwezi hakosi laki5...km yupo interested na kazi za hotel aende akasome National College of Tourism kipo karibu na IFM...akifaulu anapata ajira 1kwa1

Jamani hapo kwenye tarakimu naomba msaada wenu tafadhali, ndo shilingi ngapi hiyo?
 
Mwambie akasome biomedical engenering kama ana uwezo.hakika utakuja kunikumbuka
 
Yeye anapenda mambo ya kompyuta na mambo ya umeme lakini naona ni vigumu kupata ajira. Vipi hayo mambo ya hotel yanalipa kiasi cha kumudu mahitaji yake?

asome SECRATARIAL AND COMPUTER 2yrs VETA na ada gharama zote ni 235,000 Tshs kwa vyuo vyote vya VETA vya Morogoro na Pwani, km ataishi boarding!
Kwa upande wa hotel mgmt, cjui wewe uko wapi ila VETA Arusha na Mikumi ndio wanaoffer hiyo kozi!
Kuhusu Umeme almost VETA zote wanayo hiyo kozi!
 
Nina mdogo wangu(msichana) amemaliza form 2012 katika masomo yake alipata D isipokuwa Maths alipata F na hivyo kushindwa kuendelea na kidato cha tano. Nimekusanya vijisenti nataka kumpeleka chuo cha ufundi. Kutokana na ugumu wa ajira hapa nchini nataka asomee kozi atakayojiajiri zaidi ili pesa zangu zisipotee bure. Nitashukuru kwa mawazo yenu.

Mpeleke pale azania college of management iko upanga karibu na muhimbili..
Anaweza kusoma sheria na uhasibu kwa ngazi ya certificate kama ana D zisizopungua 4 au diploma kama ana D zisizo pungua 5,pia kuna foundation course kwa wenye D na 3..trust me atakua amepata suluisho..
Masomo ni january, march na September..
Kwa maelezo zaidi..
www.acom.ac.tz
Au nicheki hapa nikuelekeze zaidi
0758009876
 
Kazi ya hoter haina tofauti na ya bar pia na kibarua kwenye kiwanda cha mhindi kwanza ili upate kazi (kibarua) lazima uliwe kwanza
 
Back
Top Bottom