Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Nina mdogo wangu(msichana) amamaliza form 2012 katika masome yake alipata D isipokuwa Maths alipata F na hivyo kushindwa kuendelea na kidato cha tano. Nimekusanya vijisenti nataka kumpeleka chuo cha ufundi. Kutokana na ugumu wa ajira hapa nchini nataka asomee kozi atakayojiajiri zaidi ili pesa zangu zisipotee bure. Nitashikuru kwa mawazo yenu.
Yeye binafsi anapenda kusomea course gani? Akisomea hotel ajira zipo nyingi, ila km umesema unahitaji ajiajiri hapo cjui yy anapenda biashara gani
Kuna njia mbili zaufanya
Ya kwanza. Asome certificate katika chuo kinachotambulika kiserikali hata kama ni chuo binafsi akifaulu asome diploma chuo hata cha serikali au binafsi. Akifaulu anaenda kusoma degree
Ya pili. Asome veta katika kozi anayopenda, kama anapenda kujiremba sana mpleleke asomee mambo ya saloon na upambaji. Kama anapenda kupika aende akajifunze mapishi mbalimbali ya vitafunwa keki na aina zingine za vyakula. Kwa ujumla veta asome kile kitu anachopenda huku ukimsaidia mawazo ya namna ya kujiajiri ktk huo ujuzi atakaopata.
Yeye binafsi anapenda kusomea course gani? Akisomea hotel ajira zipo nyingi, ila km umesema unahitaji ajiajiri hapo cjui yy anapenda biashara gani
Yeye anapenda mambo ya kompyuta na mambo ya umeme lakini naona ni vigumu kupata ajira. Vipi hayo mambo ya hotel yanalipa kiasi cha kumudu mahitaji yake?

Hotel ajiandae kusumbuliwa ovyo na wanaume na kuwa sehemu ya kuwaondoa upweke wateja wa kiume
Yes hotel zinalipa hasa akisoma akafaulu akasjiriwa na 4 or 5Star hotels, kima cha chini ni 25,0000+ service charges...atleast kwa mwezi hakosi laki5...km yupo interested na kazi za hotel aende akasome National College of Tourism kipo karibu na IFM...akifaulu anapata ajira 1kwa1
sasa jomba unataka ajiajiri au kuajiriwa
Ikitokea akaajiriwa ni vizur lakini mi nataka kozi ambayo atajiajiri yeye mwenyewe bila kutegemea kuajiriwa. Nipe ushauri hapo mkuu
Ikitokea akaajiriwa ni vizur lakini mi nataka kozi ambayo atajiajiri yeye mwenyewe bila kutegemea kuajiriwa. Nipe ushauri hapo mkuu
Yeye binafsi anapenda kusomea course gani? Akisomea hotel ajira zipo nyingi, ila km umesema unahitaji ajiajiri hapo cjui yy anapenda biashara gani
Yeye binafsi anapenda kusomea course gani? Akisomea hotel ajira zipo nyingi, ila km umesema unahitaji ajiajiri hapo cjui yy anapenda biashara gani
Yeye anapenda mambo ya kompyuta na mambo ya umeme lakini naona ni vigumu kupata ajira. Vipi hayo mambo ya hotel yanalipa kiasi cha kumudu mahitaji yake?
Ni course gani mtu anasoma halafu anaenda kufanya kazi sehemu ambayo hakuna usumbufu wa jinsia tofautim ni msimamo wa mtu binafsi, hata ungemfungia ndani km hajatulia watamsumbua tu
Yes hotel zinalipa hasa akisoma akafaulu akasjiriwa na 4 or 5Star hotels, kima cha chini ni 25,0000+ service charges...atleast kwa mwezi hakosi laki5...km yupo interested na kazi za hotel aende akasome National College of Tourism kipo karibu na IFM...akifaulu anapata ajira 1kwa1
hakuna koz mbovu kama hiyo ya hotel nina ndugu zangu wa kike wawil wana vyeti wanarandaranda navyo mtaan ktk kila hotel ila hata ajira ya kutandika vitanda tu hawajapata pia ukizingatia kaz za hotel zinategemea na muonekano wa mtu, uchangamfu, wepesi, uzoefu n.k bora asome ushonaji