Ushauri. Ni muda sahihi Bagamoyo ipewe hadhi ya mkoa

petro matei

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2014
Posts
803
Reaction score
937
Kwa heshima ya jina la bagamoyo na pia ukuaji wake wa kimaendelea ya kimkakati kama bandari inayoambatana pamoja ukanda maalumu Eneo Maalum la Kiuchumi la Bagamoyo (Bagamoyo Special Economic Zone – BSEZ),

Sasa ni muda kwa Mkoa wa Pwani kugawanywa
Wilaya Bagamoyo
Wilaya kibaha
Wilaya chalize
Ichanganywe na wilaya ya Mkata
Kupitia hizi wilaya nne tupate Mkoa wa Bagamoyo.
Na Mkoa wa Pwani ubaki
Wilaya ya kibiti
Wilaya ya rufiji
Wilaya ya kisarawe
Wilaya ya mafia
Wilaya ya mkuranga
Hapo pia tutakuwa tumeweka Mkoa wa Pwani kueleweka vizuri
 
H

Hakuna wilaya ya chalinze,kuna wilaya ya bagamoyo yenye halmashauri mbili ya bagamoyo na ya chalinze.

Kabla ya kuandika tafiti unless hujui uombe kujuzwa.
 
Kwa kuwa mkwe yupo mtapewa tuu maana mshapapewa Manispaa 2 fasta fasta.
 
Kwa heshima ya jina la bagamoyo na pia ukuaji wake wa kimaendelea ya kimkakati kama bandari inayoambatana pamoja ukanda maalumu Eneo Maalum la Kiuchumi la Bagamoyo (Bagamoyo Special Economic Zone – BSEZ),

Sasa ni muda kwa Mkoa wa Pwani kugawanywa
Wilaya Bagamoyo
Wilaya kibaha
Wilaya chalize
Ichanganywe na wilaya ya Mkata
Kupitia hizi wilaya nne tupate Mkoa wa Bagamoyo.
Na Mkoa wa Pwani ubaki
Wilaya ya kibiti
Wilaya ya rufiji
Wilaya ya kisarawe
Wilaya ya mafia
Wilaya ya mkuranga
Hapo pia tutakuwa tumeweka Mkoa wa Pwani kueleweka vizuri
Labda iwe kata
 
H

Hakuna wilaya ya chalinze,kuna wilaya ya bagamoyo yenye halmashauri mbili ya bagamoyo na ya chalinze.

Kabla ya kuandika tafiti unless hujui uombe kujuzwa.
Nachojua chalize ni wilaya
 
Naunga mkono hoja.

Tena wanachelewa sana.
 
Ongeza na Ngerengere mkoa wa Morogoro
 
Iwe pwani kaskazini

Na pwani kusini
 
H

Hakuna wilaya ya chalinze,kuna wilaya ya bagamoyo yenye halmashauri mbili ya bagamoyo na ya chalinze.

Kabla ya kuandika tafiti unless hujui uombe kujuzwa.
chalinze ni wilaya na ina jengo pembeni na stendi yao acha kudanganya
 
Kwa heshima ya jina la bagamoyo na pia ukuaji wake wa kimaendelea ya kimkakati kama bandari inayoambatana pamoja ukanda maalumu Eneo Maalum la Kiuchumi la Bagamoyo (Bagamoyo Special Economic Zone – BSEZ),

Sasa ni muda kwa Mkoa wa Pwani kugawanywa
Wilaya Bagamoyo
Wilaya kibaha
Wilaya chalize
Ichanganywe na wilaya ya Mkata
Kupitia hizi wilaya nne tupate Mkoa wa Bagamoyo.
Na Mkoa wa Pwani ubaki
Wilaya ya kibiti
Wilaya ya rufiji
Wilaya ya kisarawe
Wilaya ya mafia
Wilaya ya mkuranga
Hapo pia tutakuwa tumeweka Mkoa wa Pwani kueleweka vizuri
DUH!!! Kwa raha zipi za kuongeza Mikoa na Wilaya hivyo...
Kuna haja ya kupunguza Mikoa na Wilaya na kupunguza ukubwa wa Serikali pia..
 
Kabla hatujafikiria kugawa mkoa wa Pwani tuangalie ukubwa wa mikoa ya Tabora, Lindi na Morogoro.
Morogoro iapaswa kugawanywa angalau kuanzaia Mikumi kuelekea Ifakara.
 
chalinze ni wilaya na ina jengo pembeni na stendi yao acha kudanganya
Mkuu, kumaliza ubishi, tutajie jina la mkuu wa wilaya ya Chalinze.

Au mkuu unachanganya mambo haya mawili.
1. Wilaya
2. Halmashauri ya wilaya.

Kama yanakuchanganya
1. Bagamoyo ni wilaya
2. Wilaya ya Bagamoyo ina halmashauri za wilaya mbili ambazo ni
1. Halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo
2. Halmashauri ya wilaya ya Chalinze.

Kama bado unachanganya mafaili, rejea swali nililokuuliza, mkuu wa wilaya ya Chalinze ni nani?
 
Back
Top Bottom