Watu wanataka nafasi za ukuu wa wilaya na kuongezeka kwa idadi ya majimbo ya ubunge ili kila chawa aliyefuzu apewe zawadi yakeDUH!!! Kwa raha zipi za kuongeza Mikoa na Wilaya hivyo...
Kuna haja ya kupunguza Mikoa na Wilaya na kupunguza ukubwa wa Serikali pia..