Ushauri. Ni muda sahihi Bagamoyo ipewe hadhi ya mkoa

Ushauri. Ni muda sahihi Bagamoyo ipewe hadhi ya mkoa

DUH!!! Kwa raha zipi za kuongeza Mikoa na Wilaya hivyo...
Kuna haja ya kupunguza Mikoa na Wilaya na kupunguza ukubwa wa Serikali pia..
Watu wanataka nafasi za ukuu wa wilaya na kuongezeka kwa idadi ya majimbo ya ubunge ili kila chawa aliyefuzu apewe zawadi yake
 
Kuongeza mikoa na wilaya mara kwa mara ni jambo lisilo na tija.
 
Mkuu, kumaliza ubishi, tutajie jina la mkuu wa wilaya ya Chalinze.

Au mkuu unachanganya mambo haya mawili.
1. Wilaya
2. Halmashauri ya wilaya.

Kama yanakuchanganya
1. Bagamoyo ni wilaya
2. Wilaya ya Bagamoyo ina halmashauri za wilaya mbili ambazo ni
1. Halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo
2. Halmashauri ya wilaya ya Chalinze.

Kama bado unachanganya mafaili, rejea swali nililokuuliza, mkuu wa wilaya ya Chalinze ni nani?
sawa amekosea.ila wazo lake.ni zuri
 
Asipo kuelewa hapa atakua na tatizo,ila watu wengi wakisikia halmashauri ya wilaya fulan ,wanajua ni wilaya
 
Back
Top Bottom