petro matei
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 803
- 937
Hakuna wilaya ya chalinze,kuna wilaya ya bagamoyo yenye halmashauri mbili ya bagamoyo na ya chalinze.Kwa heshima ya jina la bagamoyo na pia ukuaji wake wa kimaendelea ya kimkakati kama bandari inayoambatana pamoja ukanda maalumu Eneo Maalum la Kiuchumi la Bagamoyo (Bagamoyo Special Economic Zone – BSEZ),
Sasa ni muda kwa Mkoa wa Pwani kugawanywa
Wilaya Bagamoyo
Wilaya kibaha
Wilaya chalize
Ichanganywe na wilaya ya Mkata
Kupitia hizi wilaya nne tupate Mkoa wa Bagamoyo.
Na Mkoa wa Pwani ubaki
Wilaya ya kibiti
Wilaya ya rufiji
Wilaya ya kisarawe
Wilaya ya mafia
Wilaya ya mkuranga
Hapo pia tutakuwa tumeweka Mkoa wa Pwani kueleweka vizuri
Kwa kuwa mkwe yupo mtapewa tuu maana mshapapewa Manispaa 2 fasta fasta.Kwa heshima ya jina la bagamoyo na pia ukuaji wake wa kimaendelea ya kimkakati kama bandari inayoambatana pamoja ukanda maalumu Eneo Maalum la Kiuchumi la Bagamoyo (Bagamoyo Special Economic Zone – BSEZ),
Sasa ni muda kwa Mkoa wa Pwani kugawanywa
Wilaya Bagamoyo
Wilaya kibaha
Wilaya chalize
Ichanganywe na wilaya ya Mkata
Kupitia hizi wilaya nne tupate Mkoa wa Bagamoyo.
Na Mkoa wa Pwani ubaki
Wilaya ya kibiti
Wilaya ya rufiji
Wilaya ya kisarawe
Wilaya ya mafia
Wilaya ya mkuranga
Hapo pia tutakuwa tumeweka Mkoa wa Pwani kueleweka vizuri
Labda iwe kataKwa heshima ya jina la bagamoyo na pia ukuaji wake wa kimaendelea ya kimkakati kama bandari inayoambatana pamoja ukanda maalumu Eneo Maalum la Kiuchumi la Bagamoyo (Bagamoyo Special Economic Zone – BSEZ),
Sasa ni muda kwa Mkoa wa Pwani kugawanywa
Wilaya Bagamoyo
Wilaya kibaha
Wilaya chalize
Ichanganywe na wilaya ya Mkata
Kupitia hizi wilaya nne tupate Mkoa wa Bagamoyo.
Na Mkoa wa Pwani ubaki
Wilaya ya kibiti
Wilaya ya rufiji
Wilaya ya kisarawe
Wilaya ya mafia
Wilaya ya mkuranga
Hapo pia tutakuwa tumeweka Mkoa wa Pwani kueleweka vizuri
Nachojua chalize ni wilayaH
Hakuna wilaya ya chalinze,kuna wilaya ya bagamoyo yenye halmashauri mbili ya bagamoyo na ya chalinze.
Kabla ya kuandika tafiti unless hujui uombe kujuzwa.
Kama Chato inapigania kuwa Mkoa kwann sio Bagamoyo yenye vigezo vyoteKwa kuwa mkwe yupo mtapewa tuu maana mshapapewa Manispaa 2 fasta fasta.
Ni jambo la muda tuLabda iwe kata
Maybe 100 yrs laterNi jambo la muda tu
Naunga mkono hoja.Kwa heshima ya jina la bagamoyo na pia ukuaji wake wa kimaendelea ya kimkakati kama bandari inayoambatana pamoja ukanda maalumu Eneo Maalum la Kiuchumi la Bagamoyo (Bagamoyo Special Economic Zone – BSEZ),
Sasa ni muda kwa Mkoa wa Pwani kugawanywa
Wilaya Bagamoyo
Wilaya kibaha
Wilaya chalize
Ichanganywe na wilaya ya Mkata
Kupitia hizi wilaya nne tupate Mkoa wa Bagamoyo.
Na Mkoa wa Pwani ubaki
Wilaya ya kibiti
Wilaya ya rufiji
Wilaya ya kisarawe
Wilaya ya mafia
Wilaya ya mkuranga
Hapo pia tutakuwa tumeweka Mkoa wa Pwani kueleweka vizuri
Ongeza na Ngerengere mkoa wa MorogoroKwa heshima ya jina la bagamoyo na pia ukuaji wake wa kimaendelea ya kimkakati kama bandari inayoambatana pamoja ukanda maalumu Eneo Maalum la Kiuchumi la Bagamoyo (Bagamoyo Special Economic Zone – BSEZ),
Sasa ni muda kwa Mkoa wa Pwani kugawanywa
Wilaya Bagamoyo
Wilaya kibaha
Wilaya chalize
Ichanganywe na wilaya ya Mkata
Kupitia hizi wilaya nne tupate Mkoa wa Bagamoyo.
Na Mkoa wa Pwani ubaki
Wilaya ya kibiti
Wilaya ya rufiji
Wilaya ya kisarawe
Wilaya ya mafia
Wilaya ya mkuranga
Hapo pia tutakuwa tumeweka Mkoa wa Pwani kueleweka vizuri
Iwe pwani kaskaziniKwa heshima ya jina la bagamoyo na pia ukuaji wake wa kimaendelea ya kimkakati kama bandari inayoambatana pamoja ukanda maalumu Eneo Maalum la Kiuchumi la Bagamoyo (Bagamoyo Special Economic Zone – BSEZ),
Sasa ni muda kwa Mkoa wa Pwani kugawanywa
Wilaya Bagamoyo
Wilaya kibaha
Wilaya chalize
Ichanganywe na wilaya ya Mkata
Kupitia hizi wilaya nne tupate Mkoa wa Bagamoyo.
Na Mkoa wa Pwani ubaki
Wilaya ya kibiti
Wilaya ya rufiji
Wilaya ya kisarawe
Wilaya ya mafia
Wilaya ya mkuranga
Hapo pia tutakuwa tumeweka Mkoa wa Pwani kueleweka vizuri
chalinze ni wilaya na ina jengo pembeni na stendi yao acha kudanganyaH
Hakuna wilaya ya chalinze,kuna wilaya ya bagamoyo yenye halmashauri mbili ya bagamoyo na ya chalinze.
Kabla ya kuandika tafiti unless hujui uombe kujuzwa.
Safi Mama ni msikivu anasikiaOngeza na Ngerengere mkoa wa Morogoro
DUH!!! Kwa raha zipi za kuongeza Mikoa na Wilaya hivyo...Kwa heshima ya jina la bagamoyo na pia ukuaji wake wa kimaendelea ya kimkakati kama bandari inayoambatana pamoja ukanda maalumu Eneo Maalum la Kiuchumi la Bagamoyo (Bagamoyo Special Economic Zone – BSEZ),
Sasa ni muda kwa Mkoa wa Pwani kugawanywa
Wilaya Bagamoyo
Wilaya kibaha
Wilaya chalize
Ichanganywe na wilaya ya Mkata
Kupitia hizi wilaya nne tupate Mkoa wa Bagamoyo.
Na Mkoa wa Pwani ubaki
Wilaya ya kibiti
Wilaya ya rufiji
Wilaya ya kisarawe
Wilaya ya mafia
Wilaya ya mkuranga
Hapo pia tutakuwa tumeweka Mkoa wa Pwani kueleweka vizuri
IBAKIE WILAYA TU ILIYO...Bagamoyo napendekeza iondolewe hadhi ya wilaya ibakie kuwa tarafa
Chalinze siyo wilaya ninyi kuku. Muwe mnaelewachalinze ni wilaya na ina jengo pembeni na stendi yao acha kudanganya
Mkuu, kumaliza ubishi, tutajie jina la mkuu wa wilaya ya Chalinze.chalinze ni wilaya na ina jengo pembeni na stendi yao acha kudanganya