USHAURI: Ni vema tukajenga utamaduni wa kujisomea vitabu na kuwajengea watoto utaratibu huo

USHAURI: Ni vema tukajenga utamaduni wa kujisomea vitabu na kuwajengea watoto utaratibu huo

me nakumbuka vitabu vilikuwa vingi home hasa vya James Hardley Chase...kama vile what's better than money, knock knock who's there...vilinisaidia kwa kiasi fulani sio kizazi cha leo cha series.
 
me nakumbuka vitabu vilikuwa vingi home hasa vya James Hardley Chase...kama vile what's better than money, knock knock who's there...vilinisaidia kwa kiasi fulani sio kizazi cha leo cha series.
ulikuwa njema sana mlikuwa hadi na vitabu vya kiingereza!. unajua siku hizi library za vitabu zinaelekea kufa zinabadili za DVD.
 
uzi ni mzuri , na upumbavu ni lugha nzuri maana kama mtu ataharibu au afanyi anavyoambiwa ni mpumbavu tu..
 
Hili wenzetu wazungu walishafanya zamaaani unakutana na mtu anajua almost kila engo ya maisha...kusoma ndio siri.

Pia kusoma kunahitaji aina flani ya nidhamu ya ratiba, wengi hatuna fixed time table
 
Hili wenzetu wazungu walishafanya zamaaani unakutana na mtu anajua almost kila engo ya maisha...kusoma ndio siri.

Pia kusoma kunahitaji aina flani ya nidhamu ya ratiba, wengi hatuna fixed time table
kujisomea kunatoa sana ushamba. watu wengi ni wavivu hadi wa kusoma manuals za redio, camera au tv mwisho wa siku hufanya mambo kwa kukisiakisia. tatizo ni kuwa hawakujengewa utaratibu wa kujisomea toka nyumbani. kama kweli mtu unapenda kusoma huwezi kosa saa moja kwa siku.
 
Alafu siku hizi tumerahisishiwa sana. Unaweza kuwa na library ya vitabu kwa kununua tablet yako na kudownload eBook readers, kuna vitabu vingi...almost vitabu vyote siku hizi vipo katika mfumo wa kielektroniki.

Tukiwajengea wototo hobbies kama kusoma inawasaidia kuongeza wigo ea kuelewa mambo..!
 
Umesema sawa kabisa. Kusoma ndo silaha nzuri ya kuongeza ufahamu wa mambo.
 
Imethibitika vitabu ni bora zaidi, maana inaruhusu akili kujenga taswira yake yenyewe, movie zinalazimisha taswira, na pia hujenga memory na uvumilivu, achana kabisa kuwazoesha watoto movie na TV, atakuwa kopo na kuzoea ku flip flip , no concentration at all

Asandi mwanawane...kwa ufafanuzi waking.
 
Huu Uzi Una akili Sana. Kusoma vitabu kunampa mtu maarifa Sana. Naamini kile Kinachoingia kichwani kwa kusoma hukaa zaidi kuliko kile mtu alichosimuliwa.
 
kwanza sio lengo langu kutukana, pili upumbavu ni upumbavu hata kama umesababishwa na kutoenda shule sababu wazazi walikuwa hawana uwezo. yaani hakuna sababu nzuri ya kufanya upumbavu usiwe upumbavu.

kwani nani kasema umetukana? nimesema umeita. Pia umenena vyema uliposema "hakuna sababu nzuri ya kufanya upumbavu usiwe upumbavu" nami nasema kuna sababu nzuri ya kutomuita mlengwa wako pumbavu. Kama lengo lako ni kuelimisha uliskia wapi mpumbavu anaelimika? Unapotumia maneno ya kuudhi katika ujumbe wako unapunguza ufanisi wa ujumbe wako kwa msomaji. Yangu ni hayo tu "mkuu".
 
nimekusoma mkuu, nitakuwa makini next time. kuna kitabu nilisoma wanasema ukitaka watu waache kunywa kahawa na wanywe chai usiwaeleze ubaya wa kahawa bali waeleze uzuri wa chai. niliteleza kisela hapo.
 
ni muhimu kusoma vitabu ila kama una kipaji ndo unacho tu, mtoto kama ni hodari hata umuwekee series zote ataangalia na akifika darasani anawaongoza
 
ni muhimu kusoma vitabu ila kama una kipaji ndo unacho tu, mtoto kama ni hodari hata umuwekee series zote ataangalia na akifika darasani anawaongoza
atawaongoza labda kamao kwao nao ni wacheki sirizi. lakini kama wanasoma sahau.
 
safi sana mleta uzi huu, kusoma vitabu kuna wajenga sana watoto akili na kujua mambo.ila watoto siku hizi wao ni kumskia diamond na wema na ujonga mwingine.ila kikubwa ni kuwandalia mazingira ya kusoma vitabu kama kuwawekea book shelf
big sana mleta uzi huu
 
ni muhimu kusoma vitabu ila kama una kipaji ndo unacho tu, mtoto kama ni hodari hata umuwekee series zote ataangalia na akifika darasani anawaongoza

...mkuu hii ni exceptional sana,ni wachache wanaoweza kufanya hivyo. Naungana na mleta hoja kujenga mazingira ya mtoto kujisomea lakini pia mtoto anapaswa atambue mfumu wa maisha ya nyumbani ni tofauti na mitaani. Akiadopt maisha ya mtaani watu wanakesha wakinywa pombe usitegemee atabadilika mbeleni...
 
Thread ni nzuri. Lkn niko na swali kuhusu hard and soft books vipi ni bora kwa mtoto.
 
...mkuu hii ni exceptional sana,ni wachache wanaoweza kufanya hivyo. Naungana na mleta hoja kujenga mazingira ya mtoto kujisomea lakini pia mtoto anapaswa atambue mfumu wa maisha ya nyumbani ni tofauti na mitaani. Akiadopt maisha ya mtaani watu wanakesha wakinywa pombe usitegemee atabadilika mbeleni...
ndio kumuweka mtoto kua na tabia nzuri sio lazima kusoma vitabu vya novel, ukiwa unamuhimiza na unampeleka sehemu za ibada tu inatosha
 
atawaongoza labda kamao kwao nao ni wacheki sirizi. lakini kama wanasoma sahau.
hapana hujakutana na wanafunzi hadari ndio maana unasema hivo, hasa kwa level ya chini mwenye akili nyingi na memory kubwa ndio wa mwanzo darasani
 
Back
Top Bottom