hapo nakubaliana na wewe mkuu
ulikuwa njema sana mlikuwa hadi na vitabu vya kiingereza!. unajua siku hizi library za vitabu zinaelekea kufa zinabadili za DVD.me nakumbuka vitabu vilikuwa vingi home hasa vya James Hardley Chase...kama vile what's better than money, knock knock who's there...vilinisaidia kwa kiasi fulani sio kizazi cha leo cha series.
ulikuwa njema sana mlikuwa hadi na vitabu vya kiingereza!. unajua siku hizi library za vitabu zinaelekea kufa zinabadili za DVD.
kujisomea kunatoa sana ushamba. watu wengi ni wavivu hadi wa kusoma manuals za redio, camera au tv mwisho wa siku hufanya mambo kwa kukisiakisia. tatizo ni kuwa hawakujengewa utaratibu wa kujisomea toka nyumbani. kama kweli mtu unapenda kusoma huwezi kosa saa moja kwa siku.Hili wenzetu wazungu walishafanya zamaaani unakutana na mtu anajua almost kila engo ya maisha...kusoma ndio siri.
Pia kusoma kunahitaji aina flani ya nidhamu ya ratiba, wengi hatuna fixed time table
Imethibitika vitabu ni bora zaidi, maana inaruhusu akili kujenga taswira yake yenyewe, movie zinalazimisha taswira, na pia hujenga memory na uvumilivu, achana kabisa kuwazoesha watoto movie na TV, atakuwa kopo na kuzoea ku flip flip , no concentration at all
kwanza sio lengo langu kutukana, pili upumbavu ni upumbavu hata kama umesababishwa na kutoenda shule sababu wazazi walikuwa hawana uwezo. yaani hakuna sababu nzuri ya kufanya upumbavu usiwe upumbavu.
nimekusoma mkuu, nitakuwa makini next time. kuna kitabu nilisoma wanasema ukitaka watu waache kunywa kahawa na wanywe chai usiwaeleze ubaya wa kahawa bali waeleze uzuri wa chai. niliteleza kisela hapo.kwani nani kasema umetukana? nimesema umeita. Pia umenena vyema uliposema "hakuna sababu nzuri ya kufanya upumbavu usiwe upumbavu" nami nasema kuna sababu nzuri ya kutomuita mlengwa wako pumbavu. Kama lengo lako ni kuelimisha uliskia wapi mpumbavu anaelimika? Unapotumia maneno ya kuudhi katika ujumbe wako unapunguza ufanisi wa ujumbe wako kwa msomaji. Yangu ni hayo tu "mkuu".
atawaongoza labda kamao kwao nao ni wacheki sirizi. lakini kama wanasoma sahau.ni muhimu kusoma vitabu ila kama una kipaji ndo unacho tu, mtoto kama ni hodari hata umuwekee series zote ataangalia na akifika darasani anawaongoza
ni muhimu kusoma vitabu ila kama una kipaji ndo unacho tu, mtoto kama ni hodari hata umuwekee series zote ataangalia na akifika darasani anawaongoza
ndio kumuweka mtoto kua na tabia nzuri sio lazima kusoma vitabu vya novel, ukiwa unamuhimiza na unampeleka sehemu za ibada tu inatosha...mkuu hii ni exceptional sana,ni wachache wanaoweza kufanya hivyo. Naungana na mleta hoja kujenga mazingira ya mtoto kujisomea lakini pia mtoto anapaswa atambue mfumu wa maisha ya nyumbani ni tofauti na mitaani. Akiadopt maisha ya mtaani watu wanakesha wakinywa pombe usitegemee atabadilika mbeleni...
hapana hujakutana na wanafunzi hadari ndio maana unasema hivo, hasa kwa level ya chini mwenye akili nyingi na memory kubwa ndio wa mwanzo darasaniatawaongoza labda kamao kwao nao ni wacheki sirizi. lakini kama wanasoma sahau.