Ushauri: Nianze degree nyingine au niendelee masters then PhD

Kama degree moja umeipata umeshindwa pata pesa hiyo master na PhD au CPA zitakupa nini, anza komaa na utafutaji pesa kwa hiyo hiyo degree cause at the end tunaona hata Wana siasa wanapiga deal za pesa nyingi wanainvest, katika miradi ambayo inaitaji akili ya kawaida tu Sasa kwanini huo mda wa kurudi shule usiutumie katika kujitafuta katika kuwekeza ili upate unachotaka

Ni mawazo tu sikukatazi usisome
 
Kasome diploma ya engineering
 
Ulienda halmashauri kufanya kazi nao ukajua hawana kazi au ulienda kuhudumiwa? Acha stori za vijiweni.
Pumbavu hujui nafanya nini nafikiri kila mtu lofa kama wewe.
 
Aache kupoteza muda wake bure
 
Lengo la kutaka kusoma hizo fani ni lipi hasa,just for fun?.
 
Shukrani mkuu
 
Wewe upo kama mimi, baada ya kumaliza A-Level nilichaguliwa course ya afya pale KCMC lakini nilishindwa kwenda kwa changamoto binafsi na kifamilia zaidi hivyo nika-cease home kwanza. Baada ya hali ya hewa kua vizuri wastani nikachek course nyingn na nikamaliza nikapata na pa Kuhemea hadi mda huu.
Sasa mwaka jana nilipanga nikasome ile course ya afya palepale KCMC tena ila nawaza muda kuupotezea huko na fedha hivyo nimeamua nighairi mazima nikomae huku nilipo mana nachohitaji ni hela tu.
Sasa kwa upande wako kuunguza tena miaka mingi darasani na hela ilihali una mambo mengi ya kutimiza na bado msingi hauna vizuri itakua ni hasara. Changanya na zako.
 
Maisha sio kusoma tu ndugu. Siku hizi tunakufa tukiwa wadogo.
 
Aache kupoteza muda wake bure
Yeah kwa sababu tunaona hata katika hizi tasisi wale wanaopiga pesa ndefu at the end wanawaza wazitunze wapi tunaona wanahangaika na ufugaji, na kilimo, biashara nk, Sasa hapo ndio unawaza kama una degree moja elimu ambayo imekupa uelewa wa kutosha katika maisha kwanini hizo milion za ada usianze nazo katika jmabo furani maana at the end tunaitaji uhuru wa kiuchumi tu na ndio maana tunaona wasomi wetu wanavyodharirisha usomi wao kisa njaa kina bashiru, kina paramagamba nk
 
Tafuta pesa tu..elimu sasahivi ni takataka na konekisheni tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…