Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
We si unachezea Simba? Unataka kuacha mpira?Mods naomba msihamishe huu uzi kwenye hili jukwaa naona ndo nitapata msaada kirahisi. Ndugu Wana jf nilikuwa naomba ushauri Mimi nimesomea shahada ya uhasibu na fedha ila nawaza kusomea Mambo mengine maana nna interest na Mambo ya uhandisi, nawaza nianze diploma ya engineering then degree hasa ujenzi au umeme ila akili nyingine inanambia nitawaste time Bora nikomae na hii fani niliyonayo ikibidi niongeze masters then phd. Ushauri wenu ndugu zangu