Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Ina maana wenye nyumba wote wana magari Bro?Mtoa mada ina maana umejenga nyumba zote hizo ukiwa unakwea bodaboda? Kuna kama ka chai flani hivi. Unless hizo nyumba ziwe unga unga mwana ila mtu anayejenga nyumba mbili za kawaida hawezi kosa hata IST maana bei yake ni kama Tiles za nyumba moja tu
Ni swala la homon imbalance, linamsumbua mwamba hapo [emoji23][emoji23][emoji23]Suala la kujisikia mwanamke ukiendesha gari aina fulani ni suala binafsi na homon zako.
Sasa ukipewa hizo gari uendeshe itabidi upewe na taulo za kike usije ingia period ghafla yaani.
HahahaNi swala la homon imbalance, linamsumbua mwamba hapo [emoji23][emoji23][emoji23]
Inasoma ngapi hiyo??Mkuu Kluger ya 2014 ni noma sana.Mchana napiga kazi ili nipate hela halafu usiku najifungia napiga ibada nakulia na mola wangu ili nipate hii ndinga.
View attachment 1874385View attachment 1874387View attachment 1874388
27Inasoma ngapi hiyo??
Wewe acha utani rafiki
Used lakiniWewe acha utani rafiki
Ndiyo used ya bongo au nje?Used lakini
nje kwenye site zinazouza magariNdiyo used ya bongo au nje?
Poa Poa ngoja nichecknje kwenye site zinazouza magari
Amezuia ushauri wa kusema Jenga Kwanza nyumba pia wajengee wazazi.Maana humu watu wanna ushauri hatariiiiHivi kutuelezea kuwa umejenga mjini na kijijini ina uhusiano gani na hitaji lako la gari?
wewe unadai ni mkubwa ila bado mshamba, acha ushamba halafu jiamini, haya sasa ndio nakushauri, nenda kanunue VW,achana na hizo toys ulizoorodhesha hapo.
Hii mpya toleo kuanzia mwaka 2018 mpaka 2021 usipungue milioni 65 za kibongo.Hivi hii Suzuki mpaka kuiweka barabarani ni shiling ngapi
Harrie ni nzuri ila mimi ile gia ilipo huwaga ina nikera sana!Binafsi nakushauri uchukue harrier sababu kuu ikiwa ni muonekano wa ndani ila kama hutojali kuhusu uziri wa ndani chukua Rav 4 sababu ina ulaji mzuri wa mafuta kuliko harrier na pia ni imara zaidi kuliko harrier.Rav 4 in gear box kubwa yenye uwiyano sana na engine wakati harrier ina gear box ndogo ambayo haina uwiyano na engine hivyo kuifanya ile mafuta zaidi kuliko Rav 4.Otherwise kama unapenda luxury harrier utaenjoy
NOTE:Ukinunua gari jitahidi sana kutumia user manual kama sio mvivu wa kusoma itakusaidia na gari itafumu
Tofauti na mimi ambaye bado naishi nyumba ya kupanga halafu ninatembelea gari yangu BMW X6 , 2970cc na wala sina hofu, πππππni kweli kabisa kila mtu na kipaumbele chake .Okay nashukuru kwa ufafanuzi
Hii model ya milango bado haijatoka kuanza kuuzwa.Suzuki Jimny mkuuView attachment 1873812
Agiza hii gari hautojutiaAsanteni sana kwa ushauri na michango yenu.
Hadi saivi kulingana na maoni yetu nimechukua mawazo
1. Natakiwa niagize gari kutoka Japan pekee
2. Best company ya kuagiza magari ni BEFORWAD na SBT pekee (nimeenda webiste zao na kusona maoni ya wateja)
3. Gari ambazo nimekata shauri kuagiza ni kati ya zifuatavyo
-RAV4 (year min. 2009)
-Kluger
-Vanguard
Watu wengi wameshauri magari nje ya Toyota spare zinasunbua sana ila ukiweka umeweka. Hivyo basi km nikiamua kuagiza kutoka kampuni ya Nissan nitachukua
-Murano au
-QSHANAI
Hizi nazipenda zaidi muonekano wake
Ila nimeona Honda nao magari yao yametulia sana sema sijapata uzoefu wao sana humu ila nikipata zuri naweza nunua
Suzuki Grand au Vitara bado nazo ziko kwenye option list
Good.Asanteni sana kwa ushauri na michango yenu.
Hadi saivi kulingana na maoni yetu nimechukua mawazo
1. Natakiwa niagize gari kutoka Japan pekee
2. Best company ya kuagiza magari ni BEFORWAD na SBT pekee (nimeenda webiste zao na kusona maoni ya wateja)
3. Gari ambazo nimekata shauri kuagiza ni kati ya zifuatavyo
-RAV4 (year min. 2009)
-Kluger
-Vanguard
Watu wengi wameshauri magari nje ya Toyota spare zinasunbua sana ila ukiweka umeweka. Hivyo basi km nikiamua kuagiza kutoka kampuni ya Nissan nitachukua
-Murano au
-QSHANAI
Hizi nazipenda zaidi muonekano wake
Ila nimeona Honda nao magari yao yametulia sana sema sijapata uzoefu wao sana humu ila nikipata zuri naweza nunua
Suzuki Grand au Vitara bado nazo ziko kwenye option list
Kuna watu wanaweza maliza hata mwaka mzima hawajafika huko porini unaposema wewe.Mkuu, hizi gari porini huko usiombe yakukute. Ni nzuri sana ila mazingira yetu hayafai kabisa ukipata hitilafu porini.
Kwa sasa nipo kwenye mchakato wa kuvuta JEEP grand cherokee 4.7cc V8 ila sitaingia nalo porini.