Ushauri: Nichukue gari ipi kati ya hizi?

Ushauri: Nichukue gari ipi kati ya hizi?

Mtoa mada ina maana umejenga nyumba zote hizo ukiwa unakwea bodaboda? Kuna kama ka chai flani hivi. Unless hizo nyumba ziwe unga unga mwana ila mtu anayejenga nyumba mbili za kawaida hawezi kosa hata IST maana bei yake ni kama Tiles za nyumba moja tu
Ina maana wenye nyumba wote wana magari Bro?
 
Hivi kutuelezea kuwa umejenga mjini na kijijini ina uhusiano gani na hitaji lako la gari?

wewe unadai ni mkubwa ila bado mshamba, acha ushamba halafu jiamini, haya sasa ndio nakushauri, nenda kanunue VW,achana na hizo toys ulizoorodhesha hapo.
Amezuia ushauri wa kusema Jenga Kwanza nyumba pia wajengee wazazi.Maana humu watu wanna ushauri hatariiii
 
Hivi hii Suzuki mpaka kuiweka barabarani ni shiling ngapi
Hii mpya toleo kuanzia mwaka 2018 mpaka 2021 usipungue milioni 65 za kibongo.

Kodi (TRA) utawaachia milioni 16.9 mpaka 22.4 pia gharama zingine tenga kiasi kisichopungua milioni 3.

Gharama yake inauzwa kuanzia USD 17k mpaka 25k kulingana na mwaka upi zaidi unataka (2018 ~ 2021).

Kama mfuko unaruhusu hutojuta kununua haka kama mashine japo hakana space ya kuweka mizigo kabisa.
 
Binafsi nakushauri uchukue harrier sababu kuu ikiwa ni muonekano wa ndani ila kama hutojali kuhusu uziri wa ndani chukua Rav 4 sababu ina ulaji mzuri wa mafuta kuliko harrier na pia ni imara zaidi kuliko harrier.Rav 4 in gear box kubwa yenye uwiyano sana na engine wakati harrier ina gear box ndogo ambayo haina uwiyano na engine hivyo kuifanya ile mafuta zaidi kuliko Rav 4.Otherwise kama unapenda luxury harrier utaenjoy
NOTE:Ukinunua gari jitahidi sana kutumia user manual kama sio mvivu wa kusoma itakusaidia na gari itafumu
Harrie ni nzuri ila mimi ile gia ilipo huwaga ina nikera sana!
 
Asanteni sana kwa ushauri na michango yenu.
Hadi saivi kulingana na maoni yetu nimechukua mawazo
1. Natakiwa niagize gari kutoka Japan pekee

2. Best company ya kuagiza magari ni BEFORWAD na SBT pekee (nimeenda webiste zao na kusona maoni ya wateja)

3. Gari ambazo nimekata shauri kuagiza ni kati ya zifuatavyo
-RAV4 (year min. 2009)
-Kluger
-Vanguard
Watu wengi wameshauri magari nje ya Toyota spare zinasunbua sana ila ukiweka umeweka. Hivyo basi km nikiamua kuagiza kutoka kampuni ya Nissan nitachukua
-Murano au
-QSHANAI
Hizi nazipenda zaidi muonekano wake

Ila nimeona Honda nao magari yao yametulia sana sema sijapata uzoefu wao sana humu ila nikipata zuri naweza nunua

Suzuki Grand au Vitara bado nazo ziko kwenye option list
 
Agiza hii gari hautojutia
Screenshot_2021_0809_200650.jpg
 
Good.

Rav 4 chukua 2010 ingawa ina space ndogo kuliko vanguard.

Kuhusu QSHNAI unamaanisha QSHQAI au? Kama ni QSHQAI ina tofauti ndogo sana na DUALIS. Q imetengenezwa kwa ajili ya soko la ulaya na marekani na DUALIS kwa ajili ya Asia na kwingine but wana sifa zilizo sawa kabsa. Just google and see. May be hutaki DUALIS kwa kutaka upekee na QSHQAI....
 
Back
Top Bottom