Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
Habari,
Nimehitimu mwaka jana nimefaulu masomo yote na pia na division 1 lakini nilikuwa na ndoto za kusomea mambo ya technogy ikiwemo computer science
Mpaka sasa nina utata niende Advance au chuoni. Nimejaribu kuchukua ushauri wa watu mbalimbali kuna ambao wananishauri niende chuo nikasome diploma wengine wananishauri niende advance ili niende moja kwa moja degree
Naombeni ushauri wenu, ni sehemu gani perfect ya kwenda?