Sisa Og
JF-Expert Member
- Apr 18, 2024
- 201
- 504
Binafsi nakushauri uende chuo. Sababu hii course ina contents ambazo hujawahi kukutana nazo before. Mfano, mimi nasoma Bachelor ya mziki lakini nimekuja kugunduwa kuwa walio soma diploma ya mziki kwanza ndo wakaja degree wanaelewa vingi ambavyo kwangu ndo navijua leo. So, ni kama kujiendeleza.