Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
Kwanini unashauri advance?Nenda advanc diplom sio deal kweny computer
Nimekuelewa lakini una prefer chuo au advance?Maisha ni yako usikubali wakutoe mchezoni π€
Chuo ndio best.Nimekuelewa lakini una prefer chuo au advance?
Asante sana na pia nadhani kwa sasa watu wa diploma wanapewa mkopo.Chuo ndio best.
Yeah.Asante sana na pia nadhani kwa sasa watu wa diploma wanapewa mkopo.
Kama ukiniomba ushauri nitakwambia hivi:Habari,
Nimehitimu mwaka jana nimefaulu masomo yote na pia na division 1 lakini nilikuwa na ndoto za kusomea mambo ya technogy ikiwemo computer science
Mpaka sasa nina utata niende Advance au chuoni. Nimejaribu kuchukua ushauri wa watu mbalimbali kuna ambao wananishauri niende chuo nikasome diploma wengine wananishauri niende advance ili niende moja kwa moja degree
Naombeni ushauri wenu, ni sehemu gani perfect ya kwenda?
Asante! Samahani Ila ningependa kujua kwanini mnashauri kwenda chuo?Kama ukiniomba ushauri nitakwambia hivi:
Nenda kasome Diploma Mkuu
Ndio Mkuu!Asante! Samahani Ila ningependa kujua kwanini mnashauri kwenda chuo?
Asante sana! Kwa ushauri mzuri ππππ natumai atleast kwenda chuo kuna unafuu maana ninachotafuta ni ujuzi kwaajili ya kujiajiri baadaeNdio Mkuu!
Kwa kuwa unatamani kuwa mtaalamu wa masuaa ya Computer Science ni kitu kizuri ukianza kusoma kuanzia ngazi ya Certificate kwa maana ya Certificate ya Computer kisha uende Diploma ya Computer au matawi mengine kama Diploma ya Computer Networking au Diploma ya Computer Programming, au Diploma ya Computer Information System, ili mpaka unafika kwenye ngazi ya Bachelor unakuwa na madini ya kutosha, hakuna ambacho kitakusumbua ukifika Bachelor kwa maana utakuwa na madini na msingi mzuri wa taaluma kuanzia chini kabsa.
Wanaosumbua Chuo wengi ni wale ambao hawajapita Advance bali ni waliokwenda Diploma na Certificate!
Kama hiyo div1 uliipata kwa juhusi zako nenda advance ila kama ulipiga chabo nenda diploma. Form6 inataka mtu mwenye akili iliyotulia na anayejiamini!Habari,