Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,628
- 9,571
Kawaida boss nilianza na duka la dawa tangu nikiwa mwaka wa kwanza muhimbili nipo internship nikafungua pharmacy.Laki 5 pure profit. Unamaanisha kwa mwezi unatengeneza Mil 15. Miaka 28 haaaaaa Basi sawa.
Kawaida boss nilianza na duka la dawa tangu nikiwa mwaka wa kwanza muhimbili...wakati nipo internship nikafungua pharmacy.Kwa mwezi unaingiza faida ya 15ml kwa mwaka faida tu ni 180ml kwa miaka mitano utakuwa bilionea.
Hongera bila shaka biashara yako ipo sehemu nzuri and you are just 28.
Labda anafanya mauzo ya laki 5 lakini faida ya laki 5 kwa mwezi kutokana na duka la dawa na maabara ana bahati sana huyu. Sasa uko jeshini anaenda kutafuta nini?Kwa mwezi unaingiza faida ya 15ml kwa mwaka faida tu ni 180ml kwa miaka mitano utakuwa bilionea.
Hongera bila shaka biashara yako ipo sehemu nzuri and you are just 28.
Mwaka Jana ulikua una miaka 24,mwaka huu una miaka 28.Habari za mida? Mimi ni Daktari ,doctor of medicine nina umri wa miaka 28yrs nimejiajiri nina pharmacy moja na maabara moja na nipo mbioni kufungua dispensary na pharmacy nyingine faida ninayopata kwa siku wastani ni laki 5, hapa kati imetokea changamoto mzee aliniambia niandae CV zangu ana rafiki yake jeshini yupo ngazi za juu kabisa amesema anataka vyeti.. haraka tu natinga gwanda za mabaka.
Mzee nilimkatalia nikamwqmbia hapana siwezi kuingia jeshi sababu ya kwanza faida ninayopata kwa mwezi ni mara *6 ya mshaara wa jeshi, pili nipo huru sana na biashara zangu ninaweza kufanya chochote bila shuruti ya mtu,tatu naifurahi kazi yangu.
Mzee amekuja na sababu zake kwanza amesema kwa nchi kama tanzania biashara hazitabiriki hakuna sera nzuri kwa wafanyabiashara akatoa mfano yeye biashara zake zilivyofungwa na TRA, pili jeshini kuna security kubwa iwe kuumwa au laah lakini mshahara upo pale pale tofauti na kujiajiri ukiumwa tu ukipatwa na majanga biashara lazima itetereke, tatu ni heshima,nne unakuwa na uhakika wa maisha hata biashara zangu zikiyumba basi ajira itanipa back up.
NB: Mwisho kabisa amesema niende jeshini uku nikiendelea kusimamia biashara zangu.
Naombe ushauri wenu niende jeshi huku nikiendelea na biashara zangu au nitulie na biashara zangu niachane na jeshi?
Nenda jeshini,zahanati zako zitaendelea tu,waza kwa mapana,kule jeshini utatengeneza mtandao mkubwa,na status itakayokulipa vzr,Habari za mida? Mimi ni Daktari ,doctor of medicine nina umri wa miaka 28yrs nimejiajiri nina pharmacy moja na maabara moja na nipo mbioni kufungua dispensary na pharmacy nyingine faida ninayopata kwa siku wastani ni laki 5,hapa kati imetokea changamoto mzee aliniambia niandae CV zangu ana rafiki yake jeshini yupo ngazi za juu kabisa amesema anataka vyeti.. haraka tu natinga gwanda za mabaka.
Mzee nilimkatalia nikamwqmbia hapana siwezi kuingia jeshi sababu ya kwanza faida ninayopata kwa mwezi ni mara *6 ya mshaara wa jeshi, pili nipo huru sana na biashara zangu ninaweza kufanya chochote bila shuruti ya mtu,tatu naifurahi kazi yangu.
Mzee amekuja na sababu zake kwanza amesema kwa nchi kama tanzania biashara hazitabiriki hakuna sera nzuri kwa wafanyabiashara akatoa mfano yeye biashara zake zilivyofungwa na TRA, pili jeshini kuna security kubwa iwe kuumwa au laah lakini mshaara upo pale pale tofauti na kujiajiri ukiumwa tu ukipatwa na majanga biashara lazima itetereke,tatu ni heshima,nne unakuwa na uhakika wa maisha hata biashara zangu zikiyumba basi ajira itanipa back up.
NB:mwisho kabisa amesema niende jeshini uku nikiendelea kusimamia biashara zangu.
Naombe ushauri wenu niende jeshi uku nikiendelea na biashara zangu au nitulie na biashara zangu niachane na jeshi?
Huyu mbona kama wana genes za ukichaa siyo wa kumwamini.Kwa mwezi unaingiza faida ya 15ml kwa mwaka faida tu ni 180ml kwa miaka mitano utakuwa bilionea.
Hongera bila shaka biashara yako ipo sehemu nzuri and you are just 28.
Acha kabisa bosi kulinganisha kada yako na chombo , atacheza na det mpka achoke yaani na wakijua tu ana vimiradi ni mwendo wa RPG mpka aseme Up 1.Nenda jeshini,zahanati zako zitaendelea tu,waza kwa mapana,kule jeshini utatengeneza mtandao mkubwa,na status itakayokulipa vzr,
Hapo kwenye biashara yako ajiri mtu,Dokta asimamie,wapo watumishi wengi tu serikalini Wana biashara za pembeni,kuwa jeshini hakuwezi kuwa kikwazo Cha wewe kuwa na biashara nyingine.hata sie wahandisi huo ndio mwendo,tupo TTCL lakini tuna miriki makampuni ya ukandarasi na tuna hisa kwenye makampuni mengine.
Hapa naona ame-exagerate laki tano kila siku!!?Kwa mwezi unaingiza faida ya 15ml kwa mwaka faida tu ni 180ml kwa miaka mitano utakuwa bilionea.
Hongera bila shaka biashara yako ipo sehemu nzuri and you are just 28.