Ushauri: Niende jeshi au niendelee na biashara zangu?

Ushauri: Niende jeshi au niendelee na biashara zangu?

Nasikitika kusema natamani kujua yafuatayo kabla sijakupa ushauri ....

1) Hiyo pharmacy ni ya kwako au ya wazazi wako au ni ya mama mkwe?.

2) Uko kujiajiri umeanza lini ? Maana ulisema umepata kazi serikalini ulikuja kuomba ushauri hapa jukwaani.

Haya maswali nayauliza kwa kurejea posts zako hapo nyuma kabla ya hii .

Ukinijibu nitakushairi. [emoji1666][emoji1666]
 
HUYU NDO MWANDISHI WA HII MADA, NI MTU WETU HAPA MILEMBE😂😂😂

FB_IMG_16495390138197104.jpg
 
MKUU NAOMBA SAMAHANI KAMA NITAKUKWAZA LAKINI UKWELI ULIOPO NI KUWA

BABA YAKO NI MJINGA

Wazee kama hao ndio chachu wa kudumuza watoto, Kama ningelikua ni mimi ningelimzaba kibao kizito na baada ya hapo nikwambia achana na mimi.

Lakin 5 kwa siku maana yake ndani ya miaka mitano unaweza kutengeneza hela ambayo hata huko Jeshini uajiriwe kwa miaka 100 huwezi kuipata.

Na kitendo cha kuwa wewe mwenyewe upo kwenye njia shaka hujui pakushika ni dalili tosha kuwa huyo mzee wako kakurithisha ujinga.
Nenda Jeshini mkuu Ukashinde mwituni.

N.B Ukifikia hatua ya kuamua kwenda jeshini naomba unirithishe biashara zako, Mana kwa uhakika hutoweza kuzimudu tena. Ukiwa tayari njoo PM kwa mazungumzo.
 
Mzee kuhenya hakuna mchongo ,kozi haitaangalia wewe ni nani ,jiandae kiakili kwa asilimia 2,na kinguvu kwa asilimia mia .Unaweza enda kozi ukawa private au hata ukafeli kozi ukapoteza future yako .
Unaweza kua private vigezo vya cardet vikakutoa nouma ukabaki ukiwa private .Hii itakuumiza sana kwani utakua kila ukiiona elimu yako na cheo ulichonacho inakuumiza moyoni.Baki na ujira ulionao Hakuna pesa yenye nembo ya jwtz mzee nimemaliza
Umemjibu vizuri sana.
 
Kama unataka Uhuru endelea na biashara zako. Kubaki mtaani unaweza ukawa tajiri mkubwa au masikini mkubwa. Jeshini huwezi kuwa tajiri mkubwa pia ukisema uweke mtu asimamie biashara Bado ni majanga.
 
Sisi ambao baba zetu hawana marafiki wa nagazi za juu jeshini tunafanyaje?
 
Back
Top Bottom