Chagua mwenyewe kua mfanya biashara au mlinzi na kunyenyekea wenye vyeoHabari za mida? Mimi ni Daktari ,doctor of medicine nina umri wa miaka 28yrs nimejiajiri nina pharmacy moja na maabara moja na nipo mbioni kufungua dispensary na pharmacy nyingine faida ninayopata kwa siku wastani ni laki 5, hapa kati imetokea changamoto mzee aliniambia niandae CV zangu ana rafiki yake jeshini yupo ngazi za juu kabisa amesema anataka vyeti.. haraka tu natinga gwanda za mabaka.
Mzee nilimkatalia nikamwqmbia hapana siwezi kuingia jeshi sababu ya kwanza faida ninayopata kwa mwezi ni mara *6 ya mshaara wa jeshi, pili nipo huru sana na biashara zangu ninaweza kufanya chochote bila shuruti ya mtu,tatu naifurahi kazi yangu.
Mzee amekuja na sababu zake kwanza amesema kwa nchi kama tanzania biashara hazitabiriki hakuna sera nzuri kwa wafanyabiashara akatoa mfano yeye biashara zake zilivyofungwa na TRA, pili jeshini kuna security kubwa iwe kuumwa au laah lakini mshahara upo pale pale tofauti na kujiajiri ukiumwa tu ukipatwa na majanga biashara lazima itetereke, tatu ni heshima,nne unakuwa na uhakika wa maisha hata biashara zangu zikiyumba basi ajira itanipa back up.
NB: Mwisho kabisa amesema niende jeshini uku nikiendelea kusimamia biashara zangu.
Naombe ushauri wenu niende jeshi huku nikiendelea na biashara zangu au nitulie na biashara zangu niachane na jeshi?
Hahahaaa. Nakuona nakuona Mtani. 🤣🤣Shadeeya mayele upo?😆😆😆 mwaka wako huu mtani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Na Uzi mwingine kasema pharmacy Ni ya mama mkwe Hahah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwambaHuyu mbona kama wana genes za ukichaa siyo wa kumwamini.
![]()
Kaka yangu amechomwa Moto kwa kudhaniwa ni mwizi
Inasikitisha sana Kaka yangu ni mlemavu wa akili (ana downs syndrome) hata kumuangalia kwa macho unajua kabisa huyu mtu kichwani hakuna kitu. Majuzi alitoroka nyumbani tulimtafuta bila mafanikio ghafla tukapewa taarifa kuwa ameitiwa mwizi amechomwa moto, amekamatwa mzima mzima wala hawajampiga...www.jamiiforums.com
![]()
Kwa hii aibu niliyopata, naenda kujifunza Kiingereza
Muonekano wangu umekaa kishua mtu akiniona tu anajua nina hela halafu naongea Kiingereza balaa. Jana kuna mzungu kaja pharmacy ya mama mkwe kununua dawa sasa mama mkwe Kingereza akipandi akamtuma mtoto aje kuniita, nimefika dukani ile kumuona mzungu tu kimoyo moyo nikajisemea nimekwisha...www.jamiiforums.com
😂😂😂 Msweden kweli wewe ni kiaziHuyu mbona kama wana genes za ukichaa siyo wa kumwamini.