Ushauri: Niende jeshi au niendelee na biashara zangu?

Ushauri: Niende jeshi au niendelee na biashara zangu?

Huyu mbona kama wana genes za ukichaa siyo wa kumwamini.

[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji3][emoji23][emoji3]
 
Huyu mbwa kashaumbuka tayari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dah,mzee wako anazingua sana aisee,trna sana.

Komaaa na biashara mzee,kujiajiri kuna rahaa sana kuliko kwenda huko kuwa mtumwa.
 
Mkuu achana na biashara nenda ukavunjwe miguu.
 
Mwaka Jana ulikua una miaka 24,mwaka huu una miaka 28.

Nice story.View attachment 2184875
Hahahaha asante sana kaka Putin.

JF humu watu tunafake mno maisha, ana 28 years then anaingiza lak 5 kwa siku kama faida, muda huohuo ana degree MD. Ana pharmacy sijui Dispensary n.k

Nashukuru sana kwa hili, tukutane kule kwa International.
 
Nenda jeshini au nope hiyo chance nna mdogo want ana degree ya ualimu kwa bios na chem itamfaa
 
Sizan Kam kweli mtu anauwezo wa kupata faida laki 5 kwa siku afu akose la kuchagua Kati ya biashara yake na kwenda kulala kwenye tope, Kama sio kimoja Basi ni vyote umetudangany asee
 
Back
Top Bottom