Dibo10
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,331
- 1,636
Shadeeya mayele upo?😆😆😆 mwaka wako huu mtaniIla Jf raha sana. Lol
Shadeeya mayele upo?😆😆😆 mwaka wako huu mtaniIla Jf raha sana. Lol
Huyu boya kumbe anatuchezea akili..
Kumbe siku hizi CO nao wanaenda intern..dogo acha umachinoo.Kawaida boss nilianza na duka la dawa tangu nikiwa mwaka wa kwanza muhimbili...wakati nipo internship nikafungua pharmacy.
Ahahahaha wana jf balaaaHuyu mbona kama wana genes za ukichaa siyo wa kumwamini.
![]()
Kaka yangu amechomwa Moto kwa kudhaniwa ni mwizi
Inasikitisha sana Kaka yangu ni mlemavu wa akili (ana downs syndrome) hata kumuangalia kwa macho unajua kabisa huyu mtu kichwani hakuna kitu. Majuzi alitoroka nyumbani tulimtafuta bila mafanikio ghafla tukapewa taarifa kuwa ameitiwa mwizi amechomwa moto, amekamatwa mzima mzima wala hawajampiga...www.jamiiforums.com
![]()
Kwa hii aibu niliyopata, naenda kujifunza Kiingereza
Muonekano wangu umekaa kishua mtu akiniona tu anajua nina hela halafu naongea Kiingereza balaa. Jana kuna mzungu kaja pharmacy ya mama mkwe kununua dawa sasa mama mkwe Kingereza akipandi akamtuma mtoto aje kuniita, nimefika dukani ile kumuona mzungu tu kimoyo moyo nikajisemea nimekwisha...www.jamiiforums.com
Ma Dokta sio wasomi wasiasa na uwandishi...doctor kwa mwandiko huo....?? ufati aya na taratibu za kuandika aya ndefu
kama hizi kweli?? sawa karibu daktari>
Asante kwa kumkumbusha hilo na achukuwe taadhari kama ataishi maisha Rubby soon atarudi hapa kusema anatamani kufa haoni faida ya kuishi, ili hali wengine tunatamani miaka irudi nyuma tuanze upya.
Mkuu jeshini hauwezi kuhamua kituo cha kazi kiwe hapo kwenye biashara, pia hauwezi kua huru ndani ya ajira. Kuna kozi mbali mbali utaenda kufanya nje na ndani kwa miaka mitano, au chini ya hapo. Jiandae kw ilo piaHabari za mida? Mimi ni Daktari ,doctor of medicine nina umri wa miaka 28yrs nimejiajiri nina pharmacy moja na maabara moja na nipo mbioni kufungua dispensary na pharmacy nyingine faida ninayopata kwa siku wastani ni laki 5, hapa kati imetokea changamoto mzee aliniambia niandae CV zangu ana rafiki yake jeshini yupo ngazi za juu kabisa amesema anataka vyeti.. haraka tu natinga gwanda za mabaka.
Mzee nilimkatalia nikamwqmbia hapana siwezi kuingia jeshi sababu ya kwanza faida ninayopata kwa mwezi ni mara *6 ya mshaara wa jeshi, pili nipo huru sana na biashara zangu ninaweza kufanya chochote bila shuruti ya mtu,tatu naifurahi kazi yangu.
Mzee amekuja na sababu zake kwanza amesema kwa nchi kama tanzania biashara hazitabiriki hakuna sera nzuri kwa wafanyabiashara akatoa mfano yeye biashara zake zilivyofungwa na TRA, pili jeshini kuna security kubwa iwe kuumwa au laah lakini mshahara upo pale pale tofauti na kujiajiri ukiumwa tu ukipatwa na majanga biashara lazima itetereke, tatu ni heshima,nne unakuwa na uhakika wa maisha hata biashara zangu zikiyumba basi ajira itanipa back up.
NB: Mwisho kabisa amesema niende jeshini uku nikiendelea kusimamia biashara zangu.
Naombe ushauri wenu niende jeshi huku nikiendelea na biashara zangu au nitulie na biashara zangu niachane na jeshi?
Huyu akili za kitoto, misifa plus, tumsamehe bure.Hahaha mwaka jana biashara zilikuwa za wazazi na hawakutaka aajiriwe
Mwaka huu biashara zake na wazee wanataka aajiriwe.
Kajamaa ukute hata kibanda cha kuchaji simu hakana.
Kenge maji huyu🥲