[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Itakua huibembelezi pesa, na unavyoitafuta unatakiwa uifanye kama mtoto unaibembeleza na unapoitumia unaiambia sasa tunakula bataKutumia natumia kunizoea naona ndo imegoma [emoji23][emoji23]
Nimeshafanya maombi juu hilo mkuu [emoji4][emoji4]Hiyo Chuma ulete Mkuu.
Kuna kuibembeleza tena! mweeh kweli utajir ni shughuli kuufikia [emoji2][emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Itakua huibembelezi pesa, na unavyoitafuta unatakiwa uifanye kama mtoto unaibembeleza na unapoitumia unaiambia sasa tunakula bata
Ni mtazamo tu, utakua tajiri tu best ni juhudi pekee zinakupelekea kuwa tajiriKuna kuibembeleza tena! mweeh kweli utajir ni shughuli kuufikia [emoji2]
Wala huyo dada si suala la chuma ulete. Ni kwamba atakuwa ana kipato cha uchumi wa kati na ameamua kuishi maisha ya uchumi wa kati pia ( middle class lifestyle).Hiyo ni chumaulete inaweza ikawa, maana kutumia pesa pasipo kujua imetumikaje kupotea pasipo taarifa hiyo ni chumaulete na sio matumizi mabaya