naposema kubwa naamisha yenyevyumba kama vitu, living room, jiko na sehemu kama ya kusomea,based na kiwanja ulichonacho, unaposema kubwa au ndogo unamaanisha ukubwa gani na udogo gani!
binafsi, napendelea kuishi nyumba kubwa sana, so priority yangu ni nyumba kubwa hata kama sina hela, najenga tarartibu
shukran mkuu ubarikiweNtakutumia floor plan... Jenga msingi wa nyumba nzima, kisha nyanyua nyumba nusu.. Yani upande wa vyumba.. Upande wa sebule utanyanyua ukiwa humo humo ndani.
😂😂😂😂😂😂😂Leta hiyo hela nikupeleke chimbo lenye mademu wakali
Na Corona hi unajenga Nini wakati city wapo kwa ajili ya kuwazikeni.?😂😂😂😂😂😂😂
Unashangaaa unaazisha kunyua boma mara kifua kinabana kwa pressure 😂 unadondoka unakufa.Na Corona hi unajenga Nini wakati city wapo kwa ajili ya kuwazikeni.?
Nami pia naomba nitumie, nimenunua floor plan ya vyumba vitatu na masters bedroom sikuitathmini vizuri. Hebu ya kwako, nikiipenda nalipiaNtakutumia floor plan... Jenga msingi wa nyumba nzima, kisha nyanyua nyumba nusu.. Yani upande wa vyumba.. Upande wa sebule utanyanyua ukiwa humo humo ndani.
Ushauri mzuri, na wengi wanafanya hivi kama budget hairuhusu kunyanyua nyumba nzima kwa wakati huo.Ntakutumia floor plan... Jenga msingi wa nyumba nzima, kisha nyanyua nyumba nusu.. Yani upande wa vyumba.. Upande wa sebule utanyanyua ukiwa humo humo ndani.
Fuata mtazamo wako huunaposema kubwa naamisha yenyevyumba kama vitu, living room, jiko na sehemu kama ya kusomea,
ninapomaanisha ndogo namaanisha labda chumba kimoja tu cha self na living room(sebure bas)
Kama umeanza majukumu ya kifamilia hasa ya kusomesha bora ujenge ndogo hiyo ila jua chance ya kuja kujenga kubwa itakuwa ndogonaombeni ushauri wenu ndugu, ninakiwanja cha 20:30 square meter, uwezo wa kujenga nyumba kubwa kwa haraka sina na maisha ya kupanga siyapendi, je mnanishauri nini? nijenge ndogo tu kwa nyuma kwanza nihamie au nivumilie nijenge kubwa ingawa itanichukua muda mrefu kutokana na hali ya kipato, na je kiwanja hicho nilichosema kitatosha?