Ushauri: Nijenge nyumba kubwa kwa muda mrefu au nijenge ndogo uani, kiwanja 20:30

Jenga msingi harafu anza kujenga kidogo kidogo, nyanyua chumba chako cha master harafu funika juu uhamie. Utakuwa unajenga kidogo kidogo
Huu ujenzi huwa ni wa aina gani au ndo wa hizo nyumba mnaita za uani? ramani kama hii hapa chini unaweza jenga vipi kwa kufuata ushauri wako na ikapendeza?
 
Attachments

Tofali za kuchoma 15000 ni sawa na za block ngag equivalently?
 
Ngoja nijaribu ku compute maana hizo hesabu za tofali ni kuanzia msingi hadi boma na kwa kutumia standard ya tofali kwa eneo niliko.Tofali za kuchoma ziko tofauti eneo moja hadi zingine
 
Jenga ndogo kwanza uhamie kubwa utajenga mdogomdogo baadae.
 
Tofali za kuchoma 15000 ni sawa na za block ngag equivalently?
kwa block za ukubwa wa 0.45x0.23x0.15=5200
kwa block za ukubwa wa 0.69x0.23x0.15=3300
Note urefu wa msingi usizidi 1.0m na urefu wa boma usizidi 3.2m..Hiyo ramani imezingatia upauaji kama unavyoonesha kwenye ramani na elevations yaani gable roofs na urefu wa kingpost usiozidi 4.0m
 
Attachments

  • ASUKILE CLASSIC 3-33.png
    ASUKILE CLASSIC 3-33.png
    38.7 KB · Views: 30
  • ASUKILE CLASSIC 3-3.png
    ASUKILE CLASSIC 3-3.png
    37.5 KB · Views: 34
  • ASUKILE CLASSIC 3-35.png
    ASUKILE CLASSIC 3-35.png
    18.8 KB · Views: 30
  • Simple Plan.pdf
    Simple Plan.pdf
    43.5 KB · Views: 34
kwa block za ukubwa wa 0.45x0.23x0.15=5200
kwa block za ukubwa wa 0.69x0.23x0.15=3300
Note urefu wa msingi usizidi 1.0m na urefu wa boma usizidi 3.2m..Hiyo ramani imezingatia upauaji kama unavyoonesha kwenye ramani na elevations yaani gable roofs na urefu wa kingpost usiozidi 4.0m
Umeokoa wengi.
Hii ramani hadi kukamilika inaweza kugharimu kiasi gani (approximately)
 
kwa block za ukubwa wa 0.45x0.23x0.15=5200
kwa block za ukubwa wa 0.69x0.23x0.15=3300
Note urefu wa msingi usizidi 1.0m na urefu wa boma usizidi 3.2m..Hiyo ramani imezingatia upauaji kama unavyoonesha kwenye ramani na elevations yaani gable roofs na urefu wa kingpost usiozidi 4.0m
Wonderful, be blessed Mkuu
 
naombeni ushauri wenu ndugu, ninakiwanja cha 20:30 square meter, uwezo wa kujenga nyumba kubwa kwa haraka sina na maisha ya kupanga siyapendi, je mnanishauri nini? nijenge ndogo tu kwa nyuma kwanza nihamie au nivumilie nijenge kubwa ingawa itanichukua muda mrefu kutokana na hali ya kipato, na je kiwanja hicho nilichosema kitatosha?
Hakikisha hiyo nyumba utakayo ijenga sasa iwe compatible na hiyo kubwa utakayokuja kuijenga baadae,

Mfano ukiwa na ramani ya nyumba ya vumba 3 basi anza kujenga chumba ili baadae usibomoe bali uunganishe na nyumba yote,

Kama itakuwa ngumu pia basi jaribu kujenga nyumba pembeni ambayo baadae utaifanya store au nyumba ya kupanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ujenzi huwa ni wa aina gani au ndo wa hizo nyumba mnaita za uani? ramani kama hii hapa chini unaweza jenga vipi kwa kufuata ushauri wako na ikapendeza?

Mkuu ajenge master pamoja na sehemu ya kulia harafu kwa juu kama hela bado hajapata analaza mbao kisha anaweka bati anahamia
 
Anzia hapa, ukifika unapojiweza utajenga kubwa na hii utaipa matumizi mengine. Hakikisha unajenga pembezoni kabisa ili hiyo kubwa ije kukaa sehemu nzuri. Kila lenye heri mkuu!!
FB_IMG_1587392347603.jpg
 
naombeni ushauri wenu ndugu, ninakiwanja cha 20:30 square meter, uwezo wa kujenga nyumba kubwa kwa haraka sina na maisha ya kupanga siyapendi, je mnanishauri nini? nijenge ndogo tu kwa nyuma kwanza nihamie au nivumilie nijenge kubwa ingawa itanichukua muda mrefu kutokana na hali ya kipato, na je kiwanja hicho nilichosema kitatosha?

Jenga ndogo ndugu.
 
Back
Top Bottom