ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Huu ujenzi huwa ni wa aina gani au ndo wa hizo nyumba mnaita za uani? ramani kama hii hapa chini unaweza jenga vipi kwa kufuata ushauri wako na ikapendeza?Jenga msingi harafu anza kujenga kidogo kidogo, nyanyua chumba chako cha master harafu funika juu uhamie. Utakuwa unajenga kidogo kidogo
Tofali za kuchoma 15000 ni sawa na za block ngag equivalently?Huu ujenzi huwa ni wa aina gani au ndo wa hizo nyumba mnaita za uani? ramani kama hii hapa chini unaweza jenga vipi kwa kufuata ushauri wako na ikapendeza?
Ngoja nijaribu ku compute maana hizo hesabu za tofali ni kuanzia msingi hadi boma na kwa kutumia standard ya tofali kwa eneo niliko.Tofali za kuchoma ziko tofauti eneo moja hadi zingineTofali za kuchoma 15000 ni sawa na za block ngag equivalently?
kwa block za ukubwa wa 0.45x0.23x0.15=5200Tofali za kuchoma 15000 ni sawa na za block ngag equivalently?
Gawanya Kwa 4Tofali za kuchoma 15000 ni sawa na za block ngag equivalently?
Umeokoa wengi.kwa block za ukubwa wa 0.45x0.23x0.15=5200
kwa block za ukubwa wa 0.69x0.23x0.15=3300
Note urefu wa msingi usizidi 1.0m na urefu wa boma usizidi 3.2m..Hiyo ramani imezingatia upauaji kama unavyoonesha kwenye ramani na elevations yaani gable roofs na urefu wa kingpost usiozidi 4.0m
Wonderful, be blessed Mkuukwa block za ukubwa wa 0.45x0.23x0.15=5200
kwa block za ukubwa wa 0.69x0.23x0.15=3300
Note urefu wa msingi usizidi 1.0m na urefu wa boma usizidi 3.2m..Hiyo ramani imezingatia upauaji kama unavyoonesha kwenye ramani na elevations yaani gable roofs na urefu wa kingpost usiozidi 4.0m
Au kama vipi nunue ka gari ka kutembelea kwanza sio?
Hakikisha hiyo nyumba utakayo ijenga sasa iwe compatible na hiyo kubwa utakayokuja kuijenga baadae,naombeni ushauri wenu ndugu, ninakiwanja cha 20:30 square meter, uwezo wa kujenga nyumba kubwa kwa haraka sina na maisha ya kupanga siyapendi, je mnanishauri nini? nijenge ndogo tu kwa nyuma kwanza nihamie au nivumilie nijenge kubwa ingawa itanichukua muda mrefu kutokana na hali ya kipato, na je kiwanja hicho nilichosema kitatosha?
Huu ujenzi huwa ni wa aina gani au ndo wa hizo nyumba mnaita za uani? ramani kama hii hapa chini unaweza jenga vipi kwa kufuata ushauri wako na ikapendeza?
Hicho atakachojenga ndo kitafanana na hiyo ramani?Mkuu ajenge master pamoja na sehemu ya kulia harafu kwa juu kama hela bado hajapata analaza mbao kisha anaweka bati anahamia
[emoji23][emoji23]Na Corona hi unajenga Nini wakati city wapo kwa ajili ya kuwazikeni.?
we jamaa fa.la sana[emoji23]Unashangaaa unaazisha kunyua boma mara kifua kinabana kwa pressure [emoji23] unadondoka unakufa.
naombeni ushauri wenu ndugu, ninakiwanja cha 20:30 square meter, uwezo wa kujenga nyumba kubwa kwa haraka sina na maisha ya kupanga siyapendi, je mnanishauri nini? nijenge ndogo tu kwa nyuma kwanza nihamie au nivumilie nijenge kubwa ingawa itanichukua muda mrefu kutokana na hali ya kipato, na je kiwanja hicho nilichosema kitatosha?
comments za watu wasio na familia hizi 🤣 🤣 🤣 😷 😷Unashangaaa unaazisha kunyua boma mara kifua kinabana kwa pressure 😂 unadondoka unakufa.