Ushauri: Nikipiga goli moja uume unachelewa kusimama

Tafuta demu mwingine ujaribu kama itakuwaje kisha lete mrejesho. Mimi ilishanitokeaga nikatafuta mpango wa dharura nilipiga usiku kucha mnara wala haushuki wala sikumbuki idadi ya magoli maana nilishindwa kuhesabu.
Umeongea jambo ambalo nimelipitia
Kuna mdada umbo bomba balaa,kila nikitoka nae nakinaiwa mapema sana,hata nijilazimishe vipi nikipiga kamoja tu kurudia inagoma na nnakosa mzuka kabisa,
Lkn yupo cheusi dawa mmoja kila nikikutana nae asee!moto unawaka,
Narudia na kurudia na kurudia mpaka naskia utupu unauma lkn bado naendelea tu sijui n nn,nilichofanya nlishaamua kuwa na yy tu
 
Hapo dawa ni kucheza bila kukunja goti yan.. ukianza umeanza mzee baba, ukimaliza la kwanza unganisha la pili.. tatu.. mpk ufike ubungo terminal.. Ila kama unatumia condom hapo kazii!! Labda mgawane majukumu, huyo bi dada awe kaishkilia condom nyngne.. ukipiga bao tu chap anakuvalisha unaendeleza game huku anafungua nyingine! Specialization of labor.
 
Mkuu bao moja linatosha??
 
Pole sana...

Usifanye hicho kitendo ukiwa umechoka, hujashiba, una mawazo, hasira au hujisikii...


Cc: mahondaw
 
Dawa Sikushaur Kabisa

Kula Vzr Zen Fanya Mazoez Ila Kabla Ya Tendo La Ndoa Hakikisha Mnajiandaa Na Kwa Tendo La Ndoa
 
kwani bao ngapi zinatakiwa ndo ulale? mimi najua bao moja tu kitu kinalala . ndo hivo naonaga kote nilikopitia
Pole sana mkuu hujakutana na mwanaume mwenye uwezo wa kufanya mapenzi, Note mimi ni mwanaume.
 
kwani bao ngapi zinatakiwa ndo ulale? mimi najua bao moja tu kitu kinalala . ndo hivo naonaga kote nilikopitia
Pole sana mkuu hujakutana na mwanaume mwenye uwezo wa kufanya mapenzi, Note mimi ni mwanaume.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mbavu zangu
 
Anaye kumaliza ni huyo bidada...hayo maneno yake kisaikolojia sio mazuri... Alafu jua tendo linaanzia kwenye mind/saikolojia...

Kwa hali yako angekusapoti wala usingepata hiyo shida!!

Alafu acha puchu... Fanya mazoezi..
 
Hiyo ndo nature kuwa baada ya goli la kwanza unapata mapumziko. Ila pia mchezaji mwenza anachangia sana kuwahisha second operation au kuchelewesha. Its not all about you
 
your just a single man with single capacity

jiandae kisaikolojia itakusaidia zaidi

ikishindikana baki na bao lako moja usijichoshe kumridhisha mwanamke..

mpaka amekutana na wewe tayari ameshashughulikiwa na kina Gugume bao 20 kwa siku

mpaka amekuja kuona kibamia chako ameshakutana na matango mpaka mengine akayakimbia

so wewe fanya unachojiskia kama hatosheki basi usijitie majaribuni ..

utakuja kufa uking'ang'ana na papuchi
 
Muwekee link akasome huo uzi si ajabu akapata majibu huko
 
Kula nyanyachungu . tangawizi itafune kabisa kunywa maji mengi hunatatizo lolote mkuu
 
sio suala la ugonjwa wala nguvu za mwili bali ni saikolojia tu. Kugegeda huanzia kwenye kichwa nikimaanisha mawazo yako kama yapo tayari kwa tendo hilo then huchochewa na matendo ya kuhamasisha kutoka kwa msichana/mwanamke unayefanya nae. Sio unataka kufanya mapenzi huku kichwani unafikiria utapata wapi ela ya kula kesho, mara unawaza anayekudai kashafika mlangoni hapo utapiga kamoja tu.
 
hata hivyo kwa ajili ya afya piga kimoja pumzika then piga cha pili. Hakuna mashindano kwa sababu hata usimamie shoo vipi demu akiamua kukutupa anakutupa tu na kutafuta mwingine. Jitahidi kumfanya aridhike kwa kumuandaa kwanza kabla ya kumpiga shoo.
 
Apa cha kwanza ondoa kabisa msongo wa mawazo kichwani jiamini kula vizuri pata maji ya kutosha fanya mazoezi kiasi pata mda wa kumzika nakuhakikishia utapiga mechi kali mno ata bao 5.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…