popbwinyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,986
- 3,615
Umeongea jambo ambalo nimelipitiaTafuta demu mwingine ujaribu kama itakuwaje kisha lete mrejesho. Mimi ilishanitokeaga nikatafuta mpango wa dharura nilipiga usiku kucha mnara wala haushuki wala sikumbuki idadi ya magoli maana nilishindwa kuhesabu.
Kuna mdada umbo bomba balaa,kila nikitoka nae nakinaiwa mapema sana,hata nijilazimishe vipi nikipiga kamoja tu kurudia inagoma na nnakosa mzuka kabisa,
Lkn yupo cheusi dawa mmoja kila nikikutana nae asee!moto unawaka,
Narudia na kurudia na kurudia mpaka naskia utupu unauma lkn bado naendelea tu sijui n nn,nilichofanya nlishaamua kuwa na yy tu