Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Urefu na uzito wako wa sasa vipimo vyake ni vipi?[/Nina kilo 60 Urefu ni ft 5
Apolonary said:Nina kilo 60 Urefu ni ft 5
Jamani nataka ninenepe nile nini?
Pendelea zaidi Chips mayai na hakikisha unatumia nyama choma kila jioni ukishushia na bia za baridi
unene.... wewe una balaa...[ hapana sina balaa ndugu!
Pendelea zaidi Chips mayai na hakikisha unatumia nyama choma kila jioni ukishushia na bia za baridi[bia gani?
Jamani nataka ninenepe nile nini?
Fakamia kila kitu. uone utakavyotoa ushuzi.