Ushauri: Nile nini ili ninenepe?

Ushauri: Nile nini ili ninenepe?

Kula sana nyama, mayai, samaki, pamoja na weight gainer shakes.
 
Urefu na uzito wako wa sasa vipimo vyake ni vipi?
 
Gonga amira ya kutosha mkuu lazima utanenepa
 
Apolonary said:
Nina kilo 60 Urefu ni ft 5

Sasa mkuu kwa urefu huo wa 1.5 metre huoni kama utahatarisha afya yako.

Unaifahamu vizuri kanuni ya Urefu with respect to Uzito?
 
Leo ni siku ya wanene duniani ama vipi?Naona kila uzi ni UNENE tu.
 
Whaaat hamira???duu naona parachuti kwa mbaali.
 
Unene sio kitu kizuri jamani
Kwanini unatamani?
 
Jamani nataka ninenepe nile nini?

Duniani hapa taabu tupu muda si mrefu kuna mtu alikuwa analia kuwa ni mnene afanyeje ili apungue muda huu na wewe unataka unene. Ushauri kama mwili wako ni wa wastani wewe kausha tu haina haja ya kuangakia na huo unene kwa sasa maana hauna dili kula vizuri ili uwe na afya njema na mwenye nuru tele usoni!
 
Back
Top Bottom