Ushauri: Nilimuacha mtoto kwa baba yake akiwa na miaka 6 je mahakama itanipa mtoto wangu

Huyo ana force matumizi ya Kila mwezi kupita mtoto
 
Nilipata BWANA Nikaondoka kwa mume wangu bila kufukuzwa baada ya maisha kuwa magumu nikamwachia mtoto wa miaka minne basi mume akaniomba twende nikamkabidhi mtoto ustawi wa jamii.

Tukaandikishana nikaondoka nikaenda kupanga ni mwaka sasa dah huku mtaan kwa moto nahtaji kurudi kwa mume wangu na mtoto wangu ananiuma huko aliko na naskia mume wangu kaoa binti wa 2000 kamfungulia biashara.

Sasa namhitaji mtoto nimlee mwenyewe. Nimeenda mahakamani je kwa umri wa mtoto wa miaka 6 mahakama itanipa mtoto wangu?
Uliondoka mtoto ana miaka 4, umepanga mtaani ni mwaka sasa toka uondoke, mtoto amefikisha miaka sita badala ya miaka 5.
Huu ni muujiza.
 
Nilipata BWANA Nikaondoka kwa mume wangu bila kufukuzwa baada ya maisha kuwa magumu nikamwachia mtoto wa miaka minne basi mume akaniomba twende nikamkabidhi mtoto ustawi wa jamii.

Tukaandikishana nikaondoka nikaenda kupanga ni mwaka sasa dah huku mtaan kwa moto nahtaji kurudi kwa mume wangu na mtoto wangu ananiuma huko aliko na naskia mume wangu kaoa binti wa 2000 kamfungulia biashara.

Sasa namhitaji mtoto nimlee mwenyewe. Nimeenda mahakamani je kwa umri wa mtoto wa miaka 6 mahakama itanipa mtoto wangu?
Labda mahakama ya ndizi, pale mabibo.
 
Back
Top Bottom