Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Piga picha hiyo lipa namba acha uboya wewe, utaambiwa upige deki pub yote na uoshe na glassUuuuwiiiii, Mhudumu nae kaniomba bavaria, nimemwambia aende kwanza afu arudi. Hapa inabdi nitembee tu
Wee Marashi mbona hukumjibu huyu mdau, au unatuchora tu humu?!!!Leta lipa namba nimwambie dogo akiclear
Utapiga deki vyoo vya Pub mzee 🤣🤣🤣Wazee hapa mambo yamekua mengi, aisee najuta kukosa hela. Madem kibao shobo kama zote
Taja lipa nambaJembe simu hapana. Michakato yangu yote ipo humu. Hapa natafta akili ya kuwatoka. Sina hela bila sim labda kesho nishinde ndani, ntakula wapi?
Hafu tajaga na location kuna vitu vya kunyimana sio ivo,,Wazee hapa mambo yamekua mengi, aisee najuta kukosa hela. Madem kibao shobo kama zote
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Unaendaje kuomba namba ya mhudumu halafu ni bar na mfukoni una 5K?
Kijana mbona unajitengenezea future ngumu sana?, mfukoni una 5K unataka pombe na mwanamke...
Noma sanaAnahitaji namba ya huyo mhudumu wake, sasa akionekana anaandikisha simu kuwa bondi ya hiyo chang'aa si ndo atamkosa manzi mazima?
Apige simu kwa rafiki, ndugu au jamaa aokoe jahazi kwa muamala
Ukute alikua anawachora tu maana kawakaushia wote mlioonesha nia ya kumsaidia.Piga picha hiyo lipa namba acha uboya wewe, utaambiwa upige deki pub yote na uoshe na glass
Vijana bhana 😅😅😅Ukute alikua anawachora tu maana kawakaushia wote mlioonesha nia ya kumsaidia.
🤣🤣🤣🤣🤣