Ushauri: Nimeagiza Valeur ndogo nimeletewa Viceroy na nina buku 5 cash. Mhudumu ni pisi kali niliyokuja kuilia misele niombe namba

Ushauri: Nimeagiza Valeur ndogo nimeletewa Viceroy na nina buku 5 cash. Mhudumu ni pisi kali niliyokuja kuilia misele niombe namba

Pub za King'ongo hizo mkuu utoke kidogo usogee barabarani
 
IMG-20241011-WA0012.jpg

Siku zote ukiingia Bar starter ni maji acha kukurupuka au we mgeni kwenye ligi.
 
Huyu mtu anawachora tu ! Kuna mdau kamwambia yupo buguruni mda sana ataje location akamuokoe jamaa akakausha,,,,,

Kuna wadau kama wawili hapo wamesema weka lipa namba wakusaidie upo kimya kama vile huoni jumbe zao,,,,

Kuna mdau kasema weka namba akutumie elfu 5 uchanganye na hiyo yako ulipe pia umemlia buyu,,,,

Sikiia , next time usije kujaribu tena wanaume, utapakwa mafuta,,,,

Ushauri ! Kuna mahali umesema ulistopishwa kaz, now unafanya vibarua na saidia fundi,,,,unaendekezaje starehe kwa ujira mdogo na pombe, kwani si ungeagiza maji tu au soda ??? Dahh any way ni maisha yako
 
Anahitaji namba ya huyo mhudumu wake, sasa akionekana anaandikisha simu kuwa bondi ya hiyo chang'aa si ndo atamkosa manzi mazima?

Apige simu kwa rafiki, ndugu au jamaa aokoe jahazi kwa muamala
Noma sana
 
Ukute alikua anawachora tu maana kawakaushia wote mlioonesha nia ya kumsaidia.
Vijana bhana 😅😅😅
Ujana unatutapeli sana, kwa kujifanya Wajuaji, wala bata, wapenda mademu na starehe kumbe ni kinyume na uhalisia wa mambo. Shauri zake siku akija kupata changamoto kweli sijui atamlilia nani na kama jana alifanya masihara
 
Back
Top Bottom