asante ndugu kwa ushauri, uwenda ukawa unajua vidonge vya kumeza au chochote kuhusu kutoa na maelezo yake uniinibox rafiki yanguJibu liko wazi kuwa kama hutaki kufa maana Yake toa mimba,kama unataka kufa iache.
Hayo mengine ya kuogopa wazazi au Dokta hayana maana kwasababu hawataweza zuia kifo chako kama kweli suala ni kifo.
Huu sasa ufalaasante ndugu kwa ushauri, uwenda ukawa unajua vidonge vya kumeza au chochote kuhusu kutoa na maelezo yake uniinibox rafiki yangu
ASANTEKamuone daktari. Hata kama akikutukana, mwisho wa siku atakutathmini kitaalamu na kukushauri kutokana na afya yako itakavyokuwa.
ASANTEMwachie Mungu kama ni mimba ya haki atakupigania, usije ukajaribu kuitoa au ukapokea ushauri wa namna hiyo...zaidi nakuombea
I concur with you mheshimiwaMwachie Mungu kama ni mimba ya haki atakupigania, usije ukajaribu kuitoa au ukapokea ushauri wa namna hiyo...zaidi nakuombea
asante kwa ushauri, sijawai kujichubua, sema mimi ni mneneNgozi yako laini kivipi?hiyo sio kawaida utakua umejichubua sana,kuna mawili kama mnene sana mshono huwa unafumuka na kama umejichubua,binti kuchanwa tumbo utoe mtoto haihusishi ngozi ya juu pekee,