Wakubwa shikamooni, wadogo habari zenu!
Mimi ni binti wa miaka 24, nilijifungua kwa operation mwaka jana mwezi wa pili tarehe 12.
Kwakuwa ngozi yangu laini na mshono unanisumbua, dokta alinishauri nisibebe ujauzito hadi miaka mitatu ipite, kwa bahati mbaya nimejikuta nina mimba ya wiki tatu.
Sasa sijui nifanyeje!, naogopa kwenda kwa daktari maana atanitukana, nikiwambia wazazi ndio kabisa hawatanielewa, nikisema niendelee na ujauzito mshono utafumuka na nitapoteza uhai.
Ushauri wenu jamani, asanteni.