- Thread starter
- #41
asante sanaRudi kwa daktari japo asilimia 90 utaambiwa utoe maana kwa ajili ya afya yako hakuna sheria itakayoweza kukushtaki.
Pole sana, siku nyingine uwe makini, uwe unatumia vidonge vya uzazi wa mpango au ufunge uzazi mpaka hiyo miaka ifike.
Au siku nyingine ukifanya sex na ukaona haukuwa safe na hauna kinga yoyote uliyoitumia ili usipate mimba basi tafuta vidonge viitwavyo 'The Morning after pills' jina lingine ni plan B.
KUMBUKA KUZUIA USIPATE MIMBA NI HERI KULIKO KUTOA.