Ushauri: Nimebeba ujauzito wakati mshono wa mimba ya kwanza haujapona vizuri

Ushauri: Nimebeba ujauzito wakati mshono wa mimba ya kwanza haujapona vizuri

Rudi kwa daktari japo asilimia 90 utaambiwa utoe maana kwa ajili ya afya yako hakuna sheria itakayoweza kukushtaki.
Pole sana, siku nyingine uwe makini, uwe unatumia vidonge vya uzazi wa mpango au ufunge uzazi mpaka hiyo miaka ifike.
Au siku nyingine ukifanya sex na ukaona haukuwa safe na hauna kinga yoyote uliyoitumia ili usipate mimba basi tafuta vidonge viitwavyo 'The Morning after pills' jina lingine ni plan B.


KUMBUKA KUZUIA USIPATE MIMBA NI HERI KULIKO KUTOA.
asante sana
 
Kwahiyo mimba imeingia bila ridhaa yako Dunia? Kitendo cha kuamua na kukubali kufanya mapenzi pasipo na njia za kujikinga na ujauzito wakati uliahaonywa hiyo ni ridhaa tosha. Labda useme ulifanya mapenzi pasipo ridhaa yako, hapo sawa.
Hapo abortion haiepukiki dada Dunia.
Umeoa/kuolewa?huna akili kama kitu hujui nyamaza kimya unamshauri kama single mother au school girl!kama hujaoa kaoe utaelewa tunachoongea kama hujaolewa kaolewe kwanza ndipo urudi hapa ,kama vyote huwezi subiri ubahatishe mimba utaelewa uzito wa jambo tunalojadili,pia hakuna kizibiti kilicho na asilimia 100,labda kuacha jambo ambalo ni gumu kama umeolewa.

Nenda hospitali Dunia haya makorokocho weka kando
 
Umeoa/kuolewa?huna akili kama kitu hujui nyamaza kimya unamshauri kama single mother au school girl!kama hujaoa kaoe utaelewa tunachoongea kama hujaolewa kaolewe kwanza ndipo urudi hapa ,kama vyote huwezi subiri ubahatishe mimba utaelewa uzito wa jambo tunalojadili,pia hakuna kizibiti kilicho na asilimia 100,labda kuacha jambo ambalo ni gumu kama umeolewa.

Nenda hospitali Dunia haya makorokocho weka kando
too low… !!
 
asanteni ndugu zangu wote mlionishauri, mbarikiwe sana, kesho mapema naenda hospitali, nitawapa mrejesho. asanteni sana, tuendelee kusaidiana na kupeana ushauri, sote ni binadamu tunamapungufu na tunakosea pia. asanteni
 
Umeoa/kuolewa?huna akili kama kitu hujui nyamaza kimya unamshauri kama single mother au school girl!kama hujaoa kaoe utaelewa tunachoongea kama hujaolewa kaolewe kwanza ndipo urudi hapa ,kama vyote huwezi subiri ubahatishe mimba utaelewa uzito wa jambo tunalojadili,pia hakuna kizibiti kilicho na asilimia 100,labda kuacha jambo ambalo ni gumu kama umeolewa.

Nenda hospitali Dunia haya makorokocho weka kando
Wewe ndo wa kusema mwenzio Hana akili? Me naona wewe ndo huna akili.

Whether umeolewa au hujaolewa, physiology ni ileile. Muda wa mimba itashika tu. Kama unajua hutaki/hupaswi kushika mimba, ni wajibu wako kuzuia. Hatuko kwenye enzi za kushika uja uzito kwa bahati.
Umeambiwa uzazi wa mpango ni kwa ajili ya single mothers na wanafunzi??

Mleta Mada anajua kafanya uzembe ndomana anaogopa hata kwenda hospitali. Au mwambie aende hospitali halafu aseme "si unajua nimeolewa"

Ingekuwa anazuia na bado kashika angesema.

However the case anapaswa kwenda hospitali.
 
Unadhania au unauliza?

Kuna mambo yanapoletwa na mtoa uzi hasa yanayo husu kunusuru uhai sifanyi utani. Inawezekana mchango wangu ukawasaidi na wengine wenye matatizo yanayofafa wote niliowataja ni gynecologists
Mkuu mbona hayo majina uliyotaja kama ni ya kufikirika.
Any way hongera kwa hicho kitambi naona kila siku glass haitoki mkononi.
 
Unaogopa dr atakutukana?
Anaanzia wapi????
Mpaka anakutukana hiyo hospitali haina uongozi eeeh???
 
Pole Dunia!

Notion kama unene hufumua mshono siyo ya kitaalam na ni ya mitaani tu!Dr wako ataona kama utazaa kawaida au kama kuna hatari watakufanyia upasuaji

Ni ww tu mwenyewe kuanza ku check BP na diabetes kama utaamua ku keep mtoto!

Hamna sababu hata moja kuhusisha unene wako na hatari ya mtoto sababu ya kufumuka mshono lkn hatari uliyo nayo ni BP na diabetes

Nicheki tuongee tuanze lea mtoto bana
 
Pole dada angu cha kukushauri

1.Waombe msamaha wazazia wako Fanya kila uwezalo wakusamehe.Maana Uchungu Wa mwana aujua mzazi na mzazi hawezi kukutupa wew,damu nzito dadangu wahenga walisema hata kuliko hayo maji.Kwa uwezo Mwenyezi watakusamehe.

2.Nenda kwa dokta muelekeze kila kitu ikiwezekana nenda na wazazi au pekee yako uko hospitalini ujue dokta afanye nini na atatafuta njia mbadala ya kukusaidia.
Naamini atakusaidia tu na kukugomea lazima lakini uku anaangalia jinsi gani akusaidie wewe.

3.Usiogope kuwaambia ukweli wazazi na madokta kwa mile ambacho kimekukuta kwanii mficha maradhi ujinga na kifo cha marehemu kitamfichua.
NI HAYO TU.

1.UKIATAKA FUATA MAELEKEZO NILOKUAMBIA.(SIO LAZIMA)

2.ACHA USHAURI WANGU UKAKUTANE NA JIBRIL.

3.OMBA TOBA KWA MOLA WAKO ATAKUSAMEHE.(MAGHUFIRA).
 
Huna haja ya kumuogopa daktari wala hawezi kukutukana, nenda kwa Dr kama ni kukutoa akutoe yeye you ll be safe kuliko vidonge unavoulizia
 
utoto unakusumbua,ata akutukane vp mwishowe atakusaidia,pia uwe makin inamaana ujui umuhim wa condom na uzitambui.siku zako hatari,next time jifunze utapoteza maisha bure kisa kuendekeza mpini usiovaa mpira kisa utamu
 
Pole saaana hospital zipo nyingi sana nchini nenda na mumeo mukalieleze tatizo lenu kwa specialist wa uzazi
 
Mkuu pole

Wala usiogope na yawezekana kabisa ukabeba mimba yako vizuri -tembelea madaktari bingwa wa kinamama. Kuna watu wanatoa matusi na kashfa wasamehe bure , hawajakutwa na dilemma kama hiyo. Wengine wanadhani ngozi ya mshono kuwa laini ni kujichubua lah tuna shida sana ya uelewa na yapendeza kukaa kimya kama hujui. Risk zaweza kuwa kubwa ila pia kuna kina mama wengi wamefanyiwa upasuaji baada ya mwaka ,sasa kwa mazingira gani ni vema uende kwa daktari bingwa.
 
Na kushauri utafute Daktari wa akina Mama atakusaidia. Kwa makuzi mazuri ya watoto wachanga jitahidini wanandoa watoto wapishane japo miaka 2 mpaka 3.Hiyo mimba usitoe itunze kama ulivyokubali iingie.
 
Kuna daktari bingwa mmoja hospitali ya Aga Khan aliwahi kuniambia akimfanyia upasuaji mwanamke aliyechelewa kupata mtoto huwa anamshauri baada ya miezi mitatu aanze kutafuta mwingine kama ana mpango wa kuongeza. Kitaalam kidonda cha ndani ndio huwa kinachelewa kupona ila baada ya miezi mitatu huna kidonda tena. Sasa wewe mpaka ujifungue karibia miaka miwili wasiwasi wako nini?
 
Wewe hapa ni unatafuta baraka za kutoa mimba tu kama kweli unayo. Mimi sikushauri kuitoa kama mume unaye na majukumu anayaweza zaa mdogo wangu mwaka umepita sasa walaaa hakuna shida otherwise dr kama kakufcha lililobaya zaidi na mapema hii na wk zako mtafute huyo dr wakao aliyekuambia hayo ukamuone na kuanza clinc mapema... utazaa salama utalea wanao kama mapacha watakuwa vzr na afya njema... acha kunyonyesha huyo maana ananyonya uchafu sasa maana maziwa yaliyopo si saiz yake ni ya aliyepo tumboni. Mimi nimejifungua kwa oper mtoto wa kwanza wa Jan 2003 maisha yakaenda mtoto wa pili wa June 2004 haya mama nikalea mtoto wa tatu wa Oct 2007. Sasa hapo dr ndio akaniambia shoo pumzika sasa umeharakisha mno mwingine ukibeba mshono utafumuka na hapo nilianza kuzaa nina 35 umri wa kikomo cha kuzaa sembuse wewe wa 24yrs? Sasa nina mabinti zangu wa 3 nakazana nao wapate elimu boraa na wa 2003 yupo frm 1 anayefata la6 na mwngne la 4 madarasa wamepshana coz hiz skul za yes/no ukimwamsha mtoto kumpeleka school ingne wanakwambia kiwango bado so drs 1 wanamrudsha. All in all niko boomba nazingatia chakula na kutafuta pesa ili nipunguze kuishi kwa matatizo Sijawahi waza kuamka kufua nappy za mtoto/watoto pesa yangu inanihudumia na lzm nitokwe hela kwa ajili ya afya yangu. H/g ni muhimu hata wa3 ukiweza ili mama usisumbuke na shughl za nyumbani ni kazini na kunyonyesha,hasira achaa jpo maudhi yapo ila unaulazmisha moyo kutokuhesabu mabaya maana hata hasira mshono unapata tabu na kuacha kukanyaga sakafu ya baridi na maji baridi ni shd kwa mshono. Wewe upo mkoa gani kama ni huu wangu nikuelekeze kwa dr wangu?
 
Back
Top Bottom