asante sanaRudi kwa daktari japo asilimia 90 utaambiwa utoe maana kwa ajili ya afya yako hakuna sheria itakayoweza kukushtaki.
Pole sana, siku nyingine uwe makini, uwe unatumia vidonge vya uzazi wa mpango au ufunge uzazi mpaka hiyo miaka ifike.
Au siku nyingine ukifanya sex na ukaona haukuwa safe na hauna kinga yoyote uliyoitumia ili usipate mimba basi tafuta vidonge viitwavyo 'The Morning after pills' jina lingine ni plan B.
KUMBUKA KUZUIA USIPATE MIMBA NI HERI KULIKO KUTOA.
We itikia tu asante harafu usiende kumuona huyo dokta.asante sana
Umeoa/kuolewa?huna akili kama kitu hujui nyamaza kimya unamshauri kama single mother au school girl!kama hujaoa kaoe utaelewa tunachoongea kama hujaolewa kaolewe kwanza ndipo urudi hapa ,kama vyote huwezi subiri ubahatishe mimba utaelewa uzito wa jambo tunalojadili,pia hakuna kizibiti kilicho na asilimia 100,labda kuacha jambo ambalo ni gumu kama umeolewa.Kwahiyo mimba imeingia bila ridhaa yako Dunia? Kitendo cha kuamua na kukubali kufanya mapenzi pasipo na njia za kujikinga na ujauzito wakati uliahaonywa hiyo ni ridhaa tosha. Labda useme ulifanya mapenzi pasipo ridhaa yako, hapo sawa.
Hapo abortion haiepukiki dada Dunia.
too low… !!Umeoa/kuolewa?huna akili kama kitu hujui nyamaza kimya unamshauri kama single mother au school girl!kama hujaoa kaoe utaelewa tunachoongea kama hujaolewa kaolewe kwanza ndipo urudi hapa ,kama vyote huwezi subiri ubahatishe mimba utaelewa uzito wa jambo tunalojadili,pia hakuna kizibiti kilicho na asilimia 100,labda kuacha jambo ambalo ni gumu kama umeolewa.
Nenda hospitali Dunia haya makorokocho weka kando
Wewe ndo wa kusema mwenzio Hana akili? Me naona wewe ndo huna akili.Umeoa/kuolewa?huna akili kama kitu hujui nyamaza kimya unamshauri kama single mother au school girl!kama hujaoa kaoe utaelewa tunachoongea kama hujaolewa kaolewe kwanza ndipo urudi hapa ,kama vyote huwezi subiri ubahatishe mimba utaelewa uzito wa jambo tunalojadili,pia hakuna kizibiti kilicho na asilimia 100,labda kuacha jambo ambalo ni gumu kama umeolewa.
Nenda hospitali Dunia haya makorokocho weka kando
Mkuu mbona hayo majina uliyotaja kama ni ya kufikirika.
Any way hongera kwa hicho kitambi naona kila siku glass haitoki mkononi.
We endelea kumwachia mungu uone utakavyo kufa kifo kitakatifu dadaangu! Kuna yakumwachia mungu aisee lakini kwa hilo JIONGEZE,ASANTE