Ushauri: Nimefall kwa house boy wangu

Ushauri: Nimefall kwa house boy wangu

Sahizi babu analinywa huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mke anatembeza tu kama kachanganyikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] vijana ni full kuinua mapaja ya mama juu juu.Wanapiga kila aina ya style.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda Si Mrefu Utamsingizia Mumeo Eti Hakuridhishi Mara Oooh Et Anakibamia Wakati Umeshapata Nae Watoto Wawili NYIE WANAWAKE HAMUCHELEWAGI MKISHAONA VIFUA VYA KUNYANYUA NONDO MNAONA MMEMALIZA MAISHA YOTE
 
Ushauri.
Wanawake wapo hivyo, anaweza akawa amempendea mumewe kwasababu ya pesa mathalani, ila kitandani akawa anamvumilia.
Kisha akampenda house boy kutokana na ukakamavu wake unaotakana na kazi ngumu alizopitia na anazoendelea kuzifanya hapo nyumbani. Fikra zake ni kwamba, ukakamavu wa misuli ukawepo hadi kwenye dudu, yaani likisimama linatuna namna hii. Hahahahaaa wanawake nawapenda sana. Natambua uwepo wenu. Wanawake oyeeeeeeee. Hahahaaaa.
Chakufanya hapo bibie, omba outing na mumeo, nendeni kwenye lodge kulingana na uwezo wenu, lengo ni kubadilisha mazingira ya kuchezea kabumbu. Mpe mechi, ikiwa kiwango ni kilekile, ukirudi msajili houseboy kupitia dirisha dogo. Endelea na maisha.
 
Back
Top Bottom