Ushauri: Nimefall kwa house boy wangu

Duh hio kali.lakini hio kitu si umepewa bure we gawa alimradi aishi wala haisemi mpatie
 
Fukuza mumeo haraka saan alaf mpe nafasi houseboy,,

Yaan utaenjoy mpk jino la mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza pole, hii issue mbona kama vile ni ww na umeishampa mzigo dogo! sasa kimoyo kinakusuta, endeleza tu si umempenda bana, ila kuwa makini jamaa asijue , dogo ana siri lakini?
 
Mimi ni Mchagga. Kwa hiyo uandishi wako ni wa Kichagga. Neno 'wooooii' linatumiwa na Wachagga na jamii zao
Sasa mkuu huwezi amini hilo neno nimelizoea tu lakini mm sio mchaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…