Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Wale wa kwako vipi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niko pia hiyi avi yako mweeh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wa kwako vipi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niko pia hiyi avi yako mweeh!
Fikiria kama huyo mother house ni full mzigo nyuma.Yaaani house boy ni full kuteseka.Hakika maombi yake yamejibiwaMpaka kumtamani mother house basi kijana naye alikuwa anashindwa aanze vipi kwa vijana sasa mm hawalazi damu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ahsante boss
Heri ya mwaka mpya kwako pia
Asantee kwa ushauri mkuu nami nilimshauri hivyo hivyo nikamwambia Sio sabuni kwamba itaishia[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Huu uzi ni mbege tosha mkuuHuu uzi una speed sana, ngoja nimalizie hii mbege nije kuisoma vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemshauri vipi sasa
Ni kipi kilikukimbiza kuolewa kama huna uwezo wa kushinda vishawishi na majaribu madogo kama hayo? Au ni ndoa ya mkeka?
Well said mkuuSio laani ni moyo, sasa ukute mme yupo busy hana muda na mke mm na hawa
waume wasomi usomi wao mpaka kwa mkewe yaani uzinzi hautaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimecheka kwa sauti unataka kula kuku na kifaranga chake
Nipo nashukuru sana pia, Mungu atusaidiye tuuvuke huu mwaka wa kikokotoo
Shunie [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahhaha nimehisi aisee shoga gani amtamani house boy wake aje akuhadithie
Ni wewe acha kuzugaAsantee kwa ushauri mkuu nami nilimshauri hivyo hivyo nikamwambia Sio sabuni kwamba itaishia[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
AsanteeeHata wenyewe hawakutamani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asantee kwa ushauri mkuu nami nilimshauri hivyo hivyo nikamwambia Sio sabuni kwamba itaishia[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Shunie [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahhaha nimehisi aisee shoga gani amtamani house boy wake aje akuhadithie
Fikiria kama huyo mother house ni full mzigo nyuma.Yaaani house boy ni full kuteseka.Hakika maombi yake yamejibiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahha siwezi wewe labda itokee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimecheka kwa sauti unataka kula kuku na kifaranga chake