ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 16,993
- 65,237
Ameen Boss[emoji120][emoji110]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameen Boss[emoji120][emoji110]
Tena Mmalawi.Woiiii kwa house boy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asubutuuuuuuuu
Mimi ni Mwanamke nimeolewa nina watoto wawili,ila kuna huyu house boy anaitatiza sana yaani ananivutia mnoo kwanzia body yake mimi hoi jamani namtamani kwelikweli kila nikimuona nalowa ila mume wangu ndo kikwazo ushauri tafadhali.
From a Friend.
Mapovu ruksa jameni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli hio ni shibe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amekaa sitting room anaangalia siri za familia hapo kishashiba wali kwa maini anamuona house boy anamtamani, wahame hapo na house boy wakapange, alipe kodi na bills zote tuone kama hilo penzi litadumu.
Shibe hiyooo.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kumind vitu vidogo hivi.Waache watu wafanye yao.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amekaa sitting room anaangalia siri za familia hapo kishashiba wali kwa maini anamuona house boy anamtamani, wahame hapo na house boy wakapange, alipe kodi na bills zote tuone kama hilo penzi litadumu.
Shibe hiyooo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu wao alikufa haki ya nani.Alafu hawa ndko wee mwanaume mzima na akili yako unasema nampenda....loh hapana aisee mie wacha wabakie kuwa chombo cha starehe tuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Wapi hao mamii
Hahhahah ni mmalawiTena Mmalawi.
Shunie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jak anatushosha mambo ni mengi mda mchache
Sana yaani usipo kuwa makini unakufa kwa BP hivyo bora kujichanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahha wale watoto bwana[emoji18]