Ushauri: Nimefall kwa house boy wangu

Ushauri: Nimefall kwa house boy wangu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amekaa sitting room anaangalia siri za familia hapo kishashiba wali kwa maini anamuona house boy anamtamani, wahame hapo na house boy wakapange, alipe kodi na bills zote tuone kama hilo penzi litadumu.
Shibe hiyooo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna penzi litakalodumu amuache mumewe wache wajidanganye siku ya siku wafumwe humo ndani mana ukionja lazima unogewe

Na house boy hatakubali kushindwa atatoa show ya kibabe sana ili amchanganye mother house
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona wababa tumeumiaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom