Ushauri: Nimefanyiwa sperm analysis ikagundulika siwezi kumpa m/mke ujauzito

Hivo hizo sperms unapiga nyeto ndo wanazipima au wanafanyaje wadau
 
Pole sana mkuu kwa ushauri kula sana mbegu za maboga mbegu za tikiti maji karanga mbichi kwa wingi zinasaidia kurekebisha sparm mkuu.
 
Nipo nimejaa tele
Your name to me is very romantic, penda sana wewe!! Sijui sasa unafananaje!!! But it seems to be sweet!!! JF bana ni sheedah!!! Basi mamaaa tuwaachie wenye uzi wao wachangie. Tatty bby!!
 
Your name to me is very romantic, penda sana wewe!! Sijui sasa unafananaje!!! But it seems to be sweet!!! JF bana ni sheedah!!! Basi mamaaa tuwaachie wenye uzi wao wachangie. Tatty bby!!
Wow thats sweet. Thank you Amigo Sr
 
pole mkuu. kuna jamaa huku home alikua mpiga puchu since young alivofika 28 akakumbana na tatizo la sperms kuzalishwa bila virutubisho muhimu
 
Nlishawahi soma gazeti hapa bongo hii Huduma IPO. Muhimbili nh
 
Pole sana. Kwa mwanaume habari hizi ni ngumu, lakini usichoke wala kukata tamaa kwa sababu kuna dr na kuna mungu mtoa hukumu.

Tatizo linaweza kurekebishika. Lakini pia ufuate masharti ya dr kwa dhati kabisa na utaona matokeo yake. Ikishindikana kabisa jiandae kufanya ivf huku ukiendelea na maombi. Kuna couple ilifanya ivf 4 times bila mafanikio halafu wakapata mtoto bila kupanga.

Kila la kheri.
 



Hii ni habari njema kwa nchi yetu, kwa kweli tatizo la ongezeko la watu ni changamoto kubwa sana inayotukabili, hivyo angalau wewe hautaongeza mzigo kwenye Uchumi wetu mdogo tuna mapungufu ya kila kitu madarasa hayatoshi, madawati hayatoshi, daladala hakuna hata pa kukanyaga, viwanja vinajaa, hivyo mimi kwangu hii ni Habari njema kwa nchi yetu!
 
hakujua but baadae alivopata tatizo na alivomuelezea dokta na kumpa historia yake ya nyuma akaambiwa nayo ni chanzo pia cha tatizo.

Aah! Niliuliza swali kutokana na kutojua maana ya 'puchu' siku hizi misamiati imezidi sana. PUCHU ndio mdudu gani mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…