Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapewa kicontainer...unapiga nyeto unapeleka. Sperms za asubuhiHivo hizo sperms unapiga nyeto ndo wanazipima au wanafanyaje wadau
Unapewa kicontainer...unapiga nyeto unapeleka. Sperms za asubuhi[/QUOTE
Tatty bby!! Upo mamaa!! Za masiku!!!
Your name to me is very romantic, penda sana wewe!! Sijui sasa unafananaje!!! But it seems to be sweet!!! JF bana ni sheedah!!! Basi mamaaa tuwaachie wenye uzi wao wachangie. Tatty bby!!Nipo nimejaa tele
Wow thats sweet. Thank you Amigo SrYour name to me is very romantic, penda sana wewe!! Sijui sasa unafananaje!!! But it seems to be sweet!!! JF bana ni sheedah!!! Basi mamaaa tuwaachie wenye uzi wao wachangie. Tatty bby!!
Usipojirekebisha na kutubu dhambi hii, kuna hatari ukawa shoga.Subri kumegewa tu maana hakuna namna
MziziMkavu una dawa ya kila tatizo dunia hii!Mkuu pole kwa kutokuwa na Sperm hazina nguvu ya kuzalisha ukihitaji dawa mimi ninayo unaweza kunitafuta kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
kwa Muijibu wa imani ya Dini yangu inasema hivi. ( Mwenyeezi Mungu Hakuleta Maradhi pasipokuwa na Dawa yake) Allah Has Not Revealed A Disease Without Treatment...MziziMkavu una dawa ya kila tatizo dunia hii!
Nlishawahi soma gazeti hapa bongo hii Huduma IPO. Muhimbili nhPole sana, unachopaswa kufanya ni kwenda nchi zinazofanya huduma ya kutunga mimba kwenye maabala, wewe na mkeo, wanaita in vitro fertilization, ambapo madaktari wataitafuta sperm Moja iliyonzima at least kwa kiwango cha cha juu kati ya hizo mbovu na kuipandikiza na yai (ovum) la mkeo kwenye maabara maalum. Bilashaka huduma hii ipo usa,uk, india sinauhakika. Hapo utapata watoto
Mkuu kwani siku za nyuma alijuaje kama alikuwa hana matatizo?pole mkuu. kuna jamaa huku home alikua mpiga puchu since young alivofika 28 akakumbana na tatizo la sperms kuzalishwa bila virutubisho muhimu
Wakubwa najua humu ndan wapo matabibu wanaweza kunisaidia leo nilifanyiwa sperm analysis nikapata majibu yafuatayo sperm mophology imeonekana baadhi ya shahawa kwa kiwango kukubwa zimeonekana zina umbo ambalo si sahihi hazina mkia wala kichwa,spem viscocity haipo sawa hazivutiki,sperm color ni yellow dk kanambia kwa matokeo hayo ni ngumu kumpa mwanamke mimba kanambia nirud kesho ula kabla sijarud naomba jf doctor munambie je naweza kurudisha sperm quality yangu namm nipate family au ndo siwez tena msaad tafaadhal
Mkuu kwani siku za nyuma alijuaje kama alikuwa hana matatizo?
hakujua but baadae alivopata tatizo na alivomuelezea dokta na kumpa historia yake ya nyuma akaambiwa nayo ni chanzo pia cha tatizo.
ipo siku tu na ww utaomba ushauri,hakuna mjanja zaidi ya duniaSubri kumegewa tu maana hakuna namna