Ushauri: Nimefanyiwa sperm analysis ikagundulika siwezi kumpa m/mke ujauzito

Ushauri: Nimefanyiwa sperm analysis ikagundulika siwezi kumpa m/mke ujauzito

Hivo hizo sperms unapiga nyeto ndo wanazipima au wanafanyaje wadau
 
Pole sana mkuu kwa ushauri kula sana mbegu za maboga mbegu za tikiti maji karanga mbichi kwa wingi zinasaidia kurekebisha sparm mkuu.
 
Nipo nimejaa tele
Your name to me is very romantic, penda sana wewe!! Sijui sasa unafananaje!!! But it seems to be sweet!!! JF bana ni sheedah!!! Basi mamaaa tuwaachie wenye uzi wao wachangie. Tatty bby!!
 
Your name to me is very romantic, penda sana wewe!! Sijui sasa unafananaje!!! But it seems to be sweet!!! JF bana ni sheedah!!! Basi mamaaa tuwaachie wenye uzi wao wachangie. Tatty bby!!
Wow thats sweet. Thank you Amigo Sr
 
pole mkuu. kuna jamaa huku home alikua mpiga puchu since young alivofika 28 akakumbana na tatizo la sperms kuzalishwa bila virutubisho muhimu
 
Pole sana, unachopaswa kufanya ni kwenda nchi zinazofanya huduma ya kutunga mimba kwenye maabala, wewe na mkeo, wanaita in vitro fertilization, ambapo madaktari wataitafuta sperm Moja iliyonzima at least kwa kiwango cha cha juu kati ya hizo mbovu na kuipandikiza na yai (ovum) la mkeo kwenye maabara maalum. Bilashaka huduma hii ipo usa,uk, india sinauhakika. Hapo utapata watoto
Nlishawahi soma gazeti hapa bongo hii Huduma IPO. Muhimbili nh
 
Pole sana. Kwa mwanaume habari hizi ni ngumu, lakini usichoke wala kukata tamaa kwa sababu kuna dr na kuna mungu mtoa hukumu.

Tatizo linaweza kurekebishika. Lakini pia ufuate masharti ya dr kwa dhati kabisa na utaona matokeo yake. Ikishindikana kabisa jiandae kufanya ivf huku ukiendelea na maombi. Kuna couple ilifanya ivf 4 times bila mafanikio halafu wakapata mtoto bila kupanga.

Kila la kheri.
 
Wakubwa najua humu ndan wapo matabibu wanaweza kunisaidia leo nilifanyiwa sperm analysis nikapata majibu yafuatayo sperm mophology imeonekana baadhi ya shahawa kwa kiwango kukubwa zimeonekana zina umbo ambalo si sahihi hazina mkia wala kichwa,spem viscocity haipo sawa hazivutiki,sperm color ni yellow dk kanambia kwa matokeo hayo ni ngumu kumpa mwanamke mimba kanambia nirud kesho ula kabla sijarud naomba jf doctor munambie je naweza kurudisha sperm quality yangu namm nipate family au ndo siwez tena msaad tafaadhal



Hii ni habari njema kwa nchi yetu, kwa kweli tatizo la ongezeko la watu ni changamoto kubwa sana inayotukabili, hivyo angalau wewe hautaongeza mzigo kwenye Uchumi wetu mdogo tuna mapungufu ya kila kitu madarasa hayatoshi, madawati hayatoshi, daladala hakuna hata pa kukanyaga, viwanja vinajaa, hivyo mimi kwangu hii ni Habari njema kwa nchi yetu!
 
hakujua but baadae alivopata tatizo na alivomuelezea dokta na kumpa historia yake ya nyuma akaambiwa nayo ni chanzo pia cha tatizo.

Aah! Niliuliza swali kutokana na kutojua maana ya 'puchu' siku hizi misamiati imezidi sana. PUCHU ndio mdudu gani mkuu?
 
Back
Top Bottom